TANZIA Mwanamuziki mkongwe wa DRC, Josky Kiambukuta Londi afariki Dunia

Oh tp okk jazz ilikuwa na ma legend ,Ila wamepukutika karibu wote kuanzia luambo makiadi,madilu,tabu ley,ndombe opetum
 
Oh walipiga colabo fulani ya wimbo NGUNGI Ni wimbo mzuri mno
Choc choc choc project ilikuwa colabo kati ya Tabu Ley, Franco na Michelino. Tabuley alishuka na Ngungi, Franco akaja na double album baadae Tabuley akadrop Michelino akaja na album yenye Mtambula Mpipa na Leila na Josky akaja na double album yenye Missile, Tu mechante na Chacun poir soi. Josky alishiriki kuimba karibu nyimbo zote na nyimbo nyingine aliimba sauti zote. Hiyo ilikuwa 1983.
 
Machozi yananilengalenga
 
Alitisha Sana,alikuwa anataka kumfunika luambo
 
Alitisha Sana,alikuwa anataka kumfunika luambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…