Mwanamuziki Robert Kelly (R. Kelly) afungwa kifungo cha miaka 30 jela

Kwa masahihisho tu Mkuu alieuwawa anaitwa George Floyd najua hukua na maana ya Bondia [emoji1417]
 
Hakuna cha day and night… kama wana utaratibu kama huku mfungwa hupata punguzo la 1/3 ya kifungo chake. Ambapo hiyo miaka 30 anapunguziwa miaka 10 atatumikia miaka 20
Na inategemea kama una nidhamu. Ukiwa msumbufu unakula 30 kamili.
 
Takesh ameachiwaa ila R kelly amefungwaa...!! Ubaguzi ulaya kwa kisingizio cha Human Right sijui na Democracy ni tatizo kubwa kuliko cancer...
Muwe mnafuatilia habari na pia jifunzeni sheria zao hata kidogo. Kila kitu ubaguziii ubaguziii! Huyo Tekashi ni mzungu? Unajua kwa nini Tekashi kafungwa kifungo kifupi?
 
Ndio na kuna sheria ya nidhamu na maradhi chochote kinaweza kupunguza kifungo..
Kwa Marekani kuna NGO za dini na maseneta wanaweza kukuonea huruma ya kinidhamu ukatoka..
Acheni kudanganya watu. Ukishahukumiwa wewe ni mali ya State penitentiary au Federal penitentiary. Wanaoweza kukutoa ni Gavana (kwa State case) na Rais (kwa Federal case). Hao uliowataja wanaweza kukufanyia kampeni tu lakini wenye uamuzi wa mwisho ni Rais au Gavana.
 
Muwe mnafuatilia habari na pia jifunzeni sheria zao hata kidogo. Kila kitu ubaguziii ubaguziii! Huyo Tekashi ni mzungu? Unajua kwa nini Tekashi kafungwa kifungo kifupi?
sasa tofuati ya mashtaka yake na R kelly ni nini??? hapa sisemi kuhusu uzungu ila rangiii weupee wanakula mserereko...
 
Takesh ameachiwaa ila R kelly amefungwaa...!! Ubaguzi ulaya kwa kisingizio cha Human Right sijui na Democracy ni tatizo kubwa kuliko cancer...
Asa Takesh kesi ya kumiliki silaha na magenge kwa kesi ya udalilishaji wa kingono wapi na wapi mkuu magereza yamejaa watu weupe ujue jamaa amepatikana na hatia kweli sio figisu hawa watu mtaani ni wakatili kinyama...
 
takesh nae ana kesi kama hiyo zaidi ualifu wa silahaa na gangs lakini anapeta mtaani
 
Duh! Floyd Mayweather kauawa lini?
 
Garry Glitter
Jimmy Savile
Roman Polanski (Huyu alikimbia kesi US na sasa anaishi Switzerland. Bado ni fugitive, US wanapigana arudishwe kujibu kesi yake.
Ian Watkins
Rolf Harris
Lakini hapo mwenye kifungo kirefu miaka 20...
 
Mkuu naomba unieleweshe kidogo hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…