Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ata uwe na genye zilizozidi mipaka kama huna hela utakachofanya ni kujiunga chaputa tuu. (Talking from experience)Genye zilizozidi mipaka.
Ata uwe na genye zilizozidi mipaka kama huna hela utakachofanya ni kujiunga chaputa tuu. (Talking from experience)
Wee watu tuna genya mpaka tunagegeda maiti sasa wee unaongelea genye gani zaidi ya hapoUnazijua genye au unazisikia 🤣??!
Unaonekana hujui hata maana ya racism. Yaani kwa kuwa Tekashi ni light skined ndio maana alipewa kifungo kidogo? Halafu kama ulikuwa hujui, Tekashi alipewa kifungo kidogo baada ya ku-snitch na kuwaunguzia picha washikaji zake kutoka Treyway gang. Waendesha mashitaka walimpa deal kwamba akikubali ku-snitch watampunguzia kifungo.sasa tofuati ya mashtaka yake na R kelly ni nini??? hapa sisemi kuhusu uzungu ila rangiii weupee wanakula mserereko...
So mkuu unashaurije!??Lile kaburu lililo mkandamiza yule black America shingo haradhani na kupelekwa kifo chake na kusababisha maandamano makubwa ya black lives matter limehukumiwa miaka 15,
Robert Kelly ambaye hakuna aliyeshuhudia akibaka hao watoto wadogo anakula miaka30,
Harafu bado mnasema hakuna ubaguzi.