Ni vile tu nchi yetu haina taasisi imara kupambana na watu aina hii ta R Kelly,, wanaume wengi wana tabia chafu,,mfano wa mtu km huyu yupo ktk familia mtu mzima ila ana unyama mwingi wa matukio ya kingono, na sipatani nae kabisa mfano ikitokea leo tunabumbulua ya nyuma na ushahidi ukatolewa wapo watu watabisha hata wakati matukio yanafanyika, wapo walioyafumba fumba kuficha aibu,,
Kwahiyo wanaomtetea huyu mtu sababu ya uafrika mnakosea mteteeni pasipo kuhusisha rangi yake ya ngozi,,
Kuna makala niliisoma kuwa kati ya wanawake 3 basi 2 walishanyanyaswa kingono na wanyanyasaji ni wanaume,, so msemo wa
Dinazarde zaidi ya nusu ya wanaume wataozea jela endapo haya yakichukuliwa hatua za kisheria