Inasikitisha, Robert Kelly wengi tunamkubali mno kwa kwa kazi zake za muziki ila kama mahakama imemtia hatiani kwa kuchezea watoto wadogo basi tuache atumikie adhabu yake,haya mambo ya kusema sijui Freemason wanamshughulikia sababu alitaka kuokoka wakamuwahi ni uzushi mtupu vinginevyo leteni ushahidi kama upande wa mashtaka walivyofanya,kwanza kuokoka ni sio mchakato kama wa kupata katiba mpya,kuokoka ni kitendo cha dk 2 tu,
Hawa Blacks wengi wanatabia za hovyohovyo hasa wakipata pesa nyingi,matumizi ya pombe na madawa ya kulevya,maisha ya anasa,umalaya na kutotii sheria,angalia hata wasanii wengine,hii ni kama ilivyo kwa waafrika tu huku,kwahio kwa kusikia hili wala haishangazi sana,ndio maana wengi kuingia jela na kutoka ni kawaida kwenye maisha yao,tuache kutetea uhalifu.