Mwanamuziki Robert Kelly (R. Kelly) afungwa kifungo cha miaka 30 jela

Mwanamuziki Robert Kelly (R. Kelly) afungwa kifungo cha miaka 30 jela

Unajua hili la RK limeanza zamani sana nafikiri tulianza kujua 2007
Alikuwa anawalaghai wasichana wadogo na kuwapeleka kwenye locations tofauti tofauti na kuwa abuse
Kweli alikuwa na masharti yake akiyaita Rob’s Rules ukikiuka anabaka anawafanya anavyojua yeye na kuwaadhibu haswa

Wengi walikuwa ni Blacks na mostly underage girl and boys

Kuhusu picha za watoto wadogo wakiwa uchi
Hili linakera sana
Binadamu wengine huwa wanafanya na kupenda mambo ya ajabu sana kama jirani zetu wao wamevunja rekodi kwa kutembea na wanyama Na hata kuku

Hivi kweli kama kwa mfano unamkuta baba zima linamuangalia mtoto wa miaka mitatu uchi wake utafanya nini

Sasa hili halina tofauti na ku download picha za uchi za watoto wadogo tena infants

Kuna mda fulani walikamatwa hapa [emoji636] watu 2 mwanamke na mwanaume wakijifanya wauguzi toka hospitali wakifuatilia wanawake wenye watoto wachanga mpaka wajue wanaishi wapi

Halafu wanaenda ku visit wanajitambulisha kuwa wanapeleleza kama watoto wamekuwa abused
Wanaomba picha kama wakiwa wanaogeshwa au hata kuwaambia Kina mama wawavue nguo watoto ili waangalie majeraha

Lakini hawaishii hapo wanaomba kupiga na picha watoto wakiwa uchi eti zikachunguzwe kwa umakini kama kuna majeraha yaliyopona

Baada ya hapo wanaziuza kwenye mitandao na wapo washenzi kama hawa ndio wana download hizo picha

Ila hao wawili walikamatwa baada ya kushtukiwa wanachofanya

Kelly he’s guilty as sin na anastahili kifungo
Tena wanaweza kumuuwa jela just wait

Nilikuwa napenda sana nyimbo zake ila kwa aliyoyafanya ni mabaya sana na binadamu anaweza kufika mbali kwa fantasy

Half kuna wapumbavu eti wanakuambia freemason mtu afanye ubakaji half wasinginzie vingine
Mtu yeyote anayegusa watoto hata kwa utani achukuliwe hatua kali tena kufungwa adhabu ndogo wangekuwa wananyongwa
 
Mkuu kwenye kubaka hapo sijakuelewa [emoji849][emoji849][emoji848][emoji848][emoji1745]

Hao Malaya si wazazi wao waliwaleta kwake? Kwani Walilazimishwa?

Kuhusu kuangalia images za watoto wakiwa uchi bila kuwafanyia vibaya shida iko wapi?

Halafu hizi kesi kwa blacks zinafanana sana recall MJ na case zake za molestation wakati hata jamaa alikuwa hadindishi[emoji1745][emoji849]...badae wanasema hana hatia while too late wamempa depression ya kufa mtu , hatimae akafa...

Hata hii ya R.Kelly lazima kuna madudu tu , hii case haijanyooka

Hata wewe ukikutwa kwenye simu yako una picha za uchi za watoto ni kosa kuna kijana nimesoma nae alikutwa anaangalia picha za uchi sijui alizitoa wapi kafungwa miaka 20 Tabora
Kelly hsingiziwi kitu ni kweli na anastahili ni mbakaji mkubwa mbwa yule
 
Huyu bado wanamfungaga tu..
Halafu hao wanawake vikiwa vibibi vinaenda kukiri vilitoa ushahidi wa uongo.
Mfano:
Kuna dogo mweusi miaka huko marekani alikua mbabe mbabe tu.
Pale mtaani wanakaa na wazungu na jirani mmoja ana mabinti mapacha.
Wakamuundia kesi ya ubakaji jamaa akala mvua Maisha.
Baada ya miaka 30 wale mabinti wakaenda wenyewe kusema hawakubakwa ulikua uongo.
Wanaomba reconciliation na wamlipe yule jamaa na aachiwe.
Yule jamaa alisema sitaki mnilipe,
Nawasamehe ila sitasamehe maisha.
Nataka nitoke tu nikakae na mamangu dakika za mwisho.
Basi.
Akatolewa.
Ila ye mzee,mamaake kibibi,vile vibinti vizee bahati nzuri walikua wanaishi wakasameheana.

Ni sawa kuna watu wanasingiziwa na wengine ni kweli kabisa wanafanya huyu R Kelly hasingiziwa bana, hata Tz sheria iwe kali mtu hata akimbusu mtoto sio wake afungwe
 
Half kuna wapumbavu eti wanakuambia freemason mtu afanye ubakaji half wasinginzie vingine
Mtu yeyote anayegusa watoto hata kwa utani achukuliwe hatua kali tena kufungwa adhabu ndogo wangekuwa wananyongwa

Wanaangalia upande mmoja eti black anaonewa wakati aliowatesa ni wasichana blacks mpaka ex wake

Nilifanya kazi ya Ukalimani nikaenda na kozi pia
Jambo moja nalikumbuka sana tuliambiwa iwapo kama Mtuhumiwa wa mauwaji akakuambia hata kwa Siri kuwa aliuwa hayo ni kuiachia mahakama akayaseme huko hata kama atasema sikuuwa bali wewe kakuambia vingine sio kazi yako
Mimi kazi yangu ni kusema anachojibu au anachoambiwa huku nikitafsiri

Ila hii sasa ya child abuse

Kama itatokea mtuhumiwa akaniambia kama Siri kuwa alimbaka huyo mtoto au alim abuse kwa njia yoyote
Hapo hapo naiambia mahakama au polisi kwa alichosema na atahukumiwa hapo hapo bila ushahidi mwingine

Hapo ndio utajua haki za watoto zilivyo na nguvu

Huyo afe tu
 
Hata wewe ukikutwa kwenye simu yako una picha za uchi za watoto ni kosa kuna kijana nimesoma nae alikutwa anaangalia picha za uchi sijui alizitoa wapi kafungwa miaka 20 Tabora
Kelly hsingiziwi kitu ni kweli na anastahili ni mbakaji mkubwa mbwa yule

Kuna watu wagonjwa dunia hii huyu mbwa aliwafanya vibaya sana wasichana na wavulana pia alikuwa na masharti yake ukiyavunja unakiona
Ni wale wanaopenda kuwatesa watoto kwa kuwafanyia wanavyotaka

Wengine wanaona eti picha ya watoto ni kawaida
Sasa picha ya mtoto mdogo yupo uchi anafanyia nini kama sio ushenzi

Sisi tuna society ambayo bado tuna utu unamkuta mama anamsaidia mtoto mdogo kujisaidia tena mbele ya watu lakini watu wanaona kawaida bila kuwaza ushenzi
Ila wapo kama hawa
 
Hata Mimi nilihofia issue ya Aliyaah maana ni ngumu. Alifoji vyeti ili amuoe na alikuwa kama ana miaka kama 14 au 16
Na bado sex tape iliyovuja [emoji2363][emoji2363]

Jamaa wamemmaliza Ila sitoacha kusikiliza nyimbo alizoimba na alizoandika. He was a genius
He was??baada ya kufungwa ugenious umeisha??

Huyu jamaa ni mwamba,kwenye music.
 
Safi sana akafie jela
Kwa wasiojua tu huyu jamaa alikutwa kwenye laptop yake images za watoto wadogo mpaka miaka miwili wakiwa uchi akiwa ame download images zaidi ya Elfu tatu

Amebaka sana ameshiriki ngono kwa underage
Hakuna ubaguzi hapo bali alitenda madhambi yote
Kuna watu washenzi sana hivi unaanzaje kuwa na mapenzi ya kuangalia uchi wa mtoto wa miaka miwili au mitatu kama sio sicko?

Jeffrey Epstein alikuwa mweupe kafa na dhambi zake na alikuwa rafiki mkubwa wa Prince Andrew na watu wamemchukia Andrew kuwa na rafiki wa hivyo
Nae alikuwa na kesi kama hii hii ya Kelly na alihukumiwa miaka 20 jela na baadae kukutwa kafa jela ya Manhattan
Kmmk wazungu hawakwepeshi yaaani
 
Hii kesi ni kama ya Wacko Jacko tu, ukitaka kutoka kwenye Game(Music industry) either kwa kuokoka au kuwa mcha Mungu Muslim, wakubwa wa Music Industry, mostly Jews, hawataki utoke hivi hivi lazima wakuharibie image yako hasa kama ulikua ni mtu mweusi. Behind the scene kuna figisufigisu amefanyiwa, ni kesi za kutengenezewa.
 
Unajua hili la RK limeanza zamani sana nafikiri tulianza kujua 2007
Alikuwa anawalaghai wasichana wadogo na kuwapeleka kwenye locations tofauti tofauti na kuwa abuse
Kweli alikuwa na masharti yake akiyaita Rob’s Rules ukikiuka anabaka anawafanya anavyojua yeye na kuwaadhibu haswa

Wengi walikuwa ni Blacks na mostly underage girl and boys

Kuhusu picha za watoto wadogo wakiwa uchi
Hili linakera sana
Binadamu wengine huwa wanafanya na kupenda mambo ya ajabu sana kama jirani zetu wao wamevunja rekodi kwa kutembea na wanyama Na hata kuku

Hivi kweli kama kwa mfano unamkuta baba zima linamuangalia mtoto wa miaka mitatu uchi wake utafanya nini

Sasa hili halina tofauti na ku download picha za uchi za watoto wadogo tena infants

Kuna mda fulani walikamatwa hapa [emoji636] watu 2 mwanamke na mwanaume wakijifanya wauguzi toka hospitali wakifuatilia wanawake wenye watoto wachanga mpaka wajue wanaishi wapi

Halafu wanaenda ku visit wanajitambulisha kuwa wanapeleleza kama watoto wamekuwa abused
Wanaomba picha kama wakiwa wanaogeshwa au hata kuwaambia Kina mama wawavue nguo watoto ili waangalie majeraha

Lakini hawaishii hapo wanaomba kupiga na picha watoto wakiwa uchi eti zikachunguzwe kwa umakini kama kuna majeraha yaliyopona

Baada ya hapo wanaziuza kwenye mitandao na wapo washenzi kama hawa ndio wana download hizo picha

Ila hao wawili walikamatwa baada ya kushtukiwa wanachofanya

Kelly he’s guilty as sin na anastahili kifungo
Tena wanaweza kumuuwa jela just wait

Nilikuwa napenda sana nyimbo zake ila kwa aliyoyafanya ni mabaya sana na binadamu anaweza kufika mbali kwa fantasy
Duuh haya mkuu

Hili la kumuua nimeshtuka, nilidhani atajiua[emoji849][emoji848]
 
Hata wewe ukikutwa kwenye simu yako una picha za uchi za watoto ni kosa kuna kijana nimesoma nae alikutwa anaangalia picha za uchi sijui alizitoa wapi kafungwa miaka 20 Tabora
Kelly hsingiziwi kitu ni kweli na anastahili ni mbakaji mkubwa mbwa yule
Duuuh mkuu acha kumwita mbwa my crush wangu banaa
 
Back
Top Bottom