Mwanamuziki Robert Kelly (R. Kelly) afungwa kifungo cha miaka 30 jela

Mwanamuziki Robert Kelly (R. Kelly) afungwa kifungo cha miaka 30 jela

Ukiwazingua freemason ni lazima wakuzingue.tupac,BIG small, michael jackson,dmx,left eye,kobe bryant,bob marley,and moore.
Hela ya shetani haiendi bure.
Were Bob Marley and Kobe the ones of them?
 
Wewe una ushahidi gani mbona yanakutoka maneno kama ulikuwapo mitaa anayoishi?!

Usipende kuhukumu mtu kutoka moyoni kwa kutumia tuhuma za kuambiwa. Siku akibainika kuwa hana hatia hayo uliyomnenea toka rohoni yatabakia na wewe kisasa kitahamia katika uzao wako au watu wako wa karibu. Ulichomnenea binadamu mwenzako ambaye haujakuwepo eneo la tukio utakiona kinatokea kwako halafu utapata ile ladha halisi ya yale maneno ya chuki umemsemea mtu usiyemjua.

Kitu unachoweza fanya kwa mtu usiyemjua na hauna uhakika wa ubaya wake ni kumuonea huruma basi. MUNGU ndie anahukumu.

R. Kelly tunamfahamu kama mwanamziki na tunapenda kazi zake. Haya mengine tunayasikia tu na yanaweza kuwa ni uvumi.

Rejea kesi ya 1989 THE CENTRAL PARK FIVE. Nenda hapo YouTube, katazame historia ya hii kesi. Hawa vijana walibambikiwa kesi ya kubaka binti. Wakiwa wadogo tu katika umri wa teenage. Donald Trump aliwanenea vibaya sana hawa vijana wakati huo kwa kuandika Makala magazetini na kusema wazi angekuwa na uwezo angewauwa kabisa.

Miaka ya 2002,muhusika aliyefanya tukio hilo la ubakaji, ambaye ni mzungu, alikamatwa kwa makosa mengine ila nafsi ilimuuma akaamua kuwa na utu na kuamua kusema ukweli kuwa muda wote huu hawa vijana wakisakamwa kwenye vyombo vya habari ni mimi ndie niliyefanya ubakaji sio wao. 2014 walilipwa fidia ya Us Dollar 41milion.

Donald Trump kipindi anagombea uraisi ile kashifa ikamrudia kama kuwa ni mtu mwenye chuki na watu weusi zile video zilirudishwa mitandaoni na watu waliziona namna alikuwa akiongea kwa chuki. Alijitahidi kujitetea ila unajitetea vipi na video inakuonyesha unatamka maneno kwa chuki na hasira as if unawajua hawa vijana kwa undani.

So nikuelekeze tu ndugu yangu, huyu R Kelly kuna watu wanamchukia na wanamtengenezea zengwe la wazi. Usimnenee mtu maneno ya chuki based on media allegations. Yeye hajakili kufanya haya. Mbona wengine wanakili why yeye akatae. Kwann mtu alazimishwe kukubali kosa bila kujitetea .

Kwa hiyo wanasheria wake Kelly wameshindwa kumtetea,aonewe ili iweje
 
Sheria za Us zingeletwa bongo na viongozi wakabadilishwa nakuambia wanaume robo tatu wangeenda jela wangebaki robo tu ndio watakatifu
Umetumia utafiti upi kusema ni robo tatu wangeenda jela na siyo robo?
 
Sure....LABDA ukiingia unapewa masharti ikiwamo kuwa sodomize watoto na wakubwa na huku ukirekodiwa kisiri Ili ukiwageuka wapate kukupiga kisheria...bora hilo la kufungwa kuliko adhabu ya kuuawa....wazee misuti sio watu wazuri
True hata hapa nchini pana watumishi feki wa Mungu Wana maagano ya kufanya ngono na watoto Ili kupata nguvu za kiroho ikiwemo kutenda miujiza feki.
Ngono ni ibada na ni kafara pia kwao thus wanamuziki wote maarufu wakubwa ni lazima wavae uchi au kuonyesha viungo vyao kwenye public unaweza ukadhani ni bahati mbaya kumbe ni maelekezo, Ili wazidi kuwa maarufu, ikiwemo kuvaa milegezo hii ni sign ya kupromote ushoga, kuacha vifua wazi, kuonyesha nguo za ndani,kuimba matusi, nk zote ni behind the scenes.
 
Sii wangemuacha tu alipe malimbikizi ya kodi zake kuliko kumuhujumu hivi...
 
Hizo ni story nyepesi nyepesi. Issue yake ni kupita na underaged girls sio watoto wadogo. Na katika hati ya mashitaka hakuna sehemu ambapo kumeandikwa alikutwa na ushahidi wa kutazama ngono za watoto wadogo wa miaka miwili au picha zao.

Kasome vema ile hati ya mashitaka. Ni racketeering, sex trafficking, sexual intercourse with minors, na battling with sexual abuse.

Na hizi tuhuma zote zimeletwa kwa sura ya allegations bila hard evidence, ushahidi ni testimonies za hawa wadada wanaotajwa kuwa victims ambao wamekuwa kimya kwa miaka mingi sana na kuibuka ghafla kwapamoja.

Nyuma ya pazia kuna watu wanapambana na huyu jamaa wameamua kutumia media na hizi kesi kumshinda nguvu.
Deep deep kiongozi.....yaaan hakuna hata ushahidi wa maana zaidi ya blah blah mimi hizi kesi nilikkuwa nazifatilia, ni ana ugomvi na nani sijui kaamua kumchoma hivi jamaa[emoji848]

Nasikia kawekewa security ya kufa mtu maana anataka kujiua?
 
Ubaguzi una play part kwa kiasi chake. Kwamfano katika kesi ya R Kelly anapambana na ubaguzi wa kijinsia na ubaguzi wa rangi.

Kesi imesimamiwa na judge mwanamke ambaye ni feminists. Nyuma ya waandaaji wa hii documentary wanaoitwa Lifetime, kuna kundi la mafeminist ni misandry by nature.

Inastaajabisha ghafla bin vuu hawa wadada kwa miaka yote walikuwa kimya na hakuna aliekwenda kufile kesi hadi leo hii ghafla wote waibuke kwapamoja?!

Kwann kaka yake R.kelly na mdogo wake walishiriki na kumsagia kunguni ndugu yao?! Juzi hapa yule mdogo wake R. Kelly anaitwa Carey nadhani , amefanya interview na mdada m'moja anakipindi chake, kwa maneno yake anatamka kwamba anajiskia vibaya kuona ndugu yake anakwenda chini na anasema kuwa alitumia hasira na jazba wakati wa ile documentary angejua asishiriki maana inamtafuna ndani ya nafsi yake.

Kuna aliyekuwa mkewe, sababu ya visasi na kuona jamaa alimtema alikuwa ameweka kihoro moyoni na kushiriki ile documentary kumsema vibaya.
Huyu pamoja na wanawake walioshirikishwa wengi ambao walikuwa na mahusiano nae miaka ya nyuma na hawapo nae tena ndio wametumika kutoa ushuhuda kuelezea ubaya wa r.kelly sasa ndugu yangu unategemea nini hapo, kwamba X wako uliyeachana nae vibaya atakusemea mazuri, na amelipwa kushiriki hiyo documentary ya kimchongo?!

Kwann watu wengine wanaomkubali R Kelly hawakushirikishwa kuna mabinti wengi sana ambao wamekiri kuwa na mahusiano nae na kulala nae ila walipopewa script ya maswali wakaona wanasetiwa kumsagia kunguni R kelly na wakaona documentary ni ya mchongo waka kataa na walimjulisha R Kelly mapema kuwa jamaa wanatutafuta wanatushawishi kuandaa documentary kwaajiri yako na wanatuahidi kitulipa, r Kelly ndio maana alikuwa anasema kuna watu wanataka kuniharibia na kunichafua na hawatapumzika hadi watakapofanikisha.

Mfano Celine Dion alisema wazi kupitia msemaji wake kuwa hana jambo baya la kusema juu ya R.kelly sababu hamjui kwa ubaya bali kwa mazuri yake. Ila alikataa kushiriki sababu waandaji wa ile Documentary walikuwa wakilazimisha aongee uovu ambao yeye haujui na hana ushaidi nao hivyo akakataa.

Ukitazama nyuma ya pazia kuna watu ambao wanachuki na R. kelly na ndio wamejiunga kumfanyia ubaya.

Ni sawa na Miaka 20 ijayo tuje kusikia kuwa mtoto wa kajala,Paula anamshitaki Rayvan kuwa aliingia nae kimahusiano akiwa mdogo so alimbaka. Kimsingi hapa jamaa kafungwa kimchongo.

Kuna watu wengi wanafaidika kupitia r. Kelly kuwa kifungoni. We jiulize kaka zake wa damu moja wameshiriki wakati r. Kelly ana washkaji zake ambao wamegoma kushiriki. Hii wamefanya kusudi sababu wametake advantage ya ugomvi uliopo katika ya r Kelly na ndugu zake ambao wamekuwa wakitaka mgao wa mali zake kitu ambacho yeye amekuwa anakikwepa sana.

So yote kwa yote watu weusi shida yetu ni taasisi imara. Hatujui kusimamisha taasisi imara za kututetea katika uso wa dunia.

Tazama Floyd Mayweather alipouwawa waafrika walilalamika ile ya kawaida ila wazungu walipoingia barabarani kuandamana kila sehemu na mataifa mbali mbali ndipo waafrika nao wakaingia barabarani na yule askari ndio akachukuliwa hatua.

Ila R Kelly hapa anafanyiwa uhuni jamik ya mwafrika tunaishia kukoment na kumchafua ndugu yetu.

Kama ana hatia kwann kesi yake ina makando makando mengi sana. Kwani unataka nambie kwa marekani mtu kulala na binti wa miaka 17 au 16 ni jambo anafanya r Kelly tu mbona wakisema wafanye ukaguzi watu wote wataenda ndani tena sio watu weusi tu hadi wazungu. Mabinti anaolala nao wengi ni vile vimicharuko vya huko uswazi vinajipeleka ili vimdangie. Mbona kuna mabinti kibao wamemkalia mbali. Kubaka ni neno zito ati. Inabidi mtu atumie nguvu za mwili kukulala, ila kama alikushawishi ukafuata mshipi mwenyewe usiite kupakwa hapo ulishiriki. Haya ndio mambo ya binti kupewa mimba halafu anafungwa mwanaume anasemwa kabaka.


Hapa wamemshambulia jamaa hawajamshitaki
Hivi ni nani yuko nyuma ya hii saga
 
Niseme tu pole yake, lakini pia niseme kwa pande zote sio jepesi. Hebu fikiria Binti yako wa under 18 alikuwa analiwa mbususu na kijeba ungefill vipi? Lakini pia wazia R Kell angekuwa ndugu yako na kala hizo mvua 30 ungejisikiaje? Ila wenzetu huko wako serious sana, mbususu ililiwa takribani miaka 15 huko lakini leo mtu anahukumiwa lakini hapa bongo mtu anampa mimba mwanafunzi kesi inaenda polisi mtuhumiwa anakimbilia mkoa mwingine anajificha tu hapo mwaka mmoja anarudi na kesi ilishasahaulika anaendelea kudunda tu kitaa.
 
Ni vile tu nchi yetu haina taasisi imara kupambana na watu aina hii ta R Kelly,, wanaume wengi wana tabia chafu,,mfano wa mtu km huyu yupo ktk familia mtu mzima ila ana unyama mwingi wa matukio ya kingono, na sipatani nae kabisa mfano ikitokea leo tunabumbulua ya nyuma na ushahidi ukatolewa wapo watu watabisha hata wakati matukio yanafanyika, wapo walioyafumba fumba kuficha aibu,,

Kwahiyo wanaomtetea huyu mtu sababu ya uafrika mnakosea mteteeni pasipo kuhusisha rangi yake ya ngozi,,

Kuna makala niliisoma kuwa kati ya wanawake 3 basi 2 walishanyanyaswa kingono na wanyanyasaji ni wanaume,, so msemo wa Dinazarde zaidi ya nusu ya wanaume wataozea jela endapo haya yakichukuliwa hatua za kisheria
 
Ni vile tu nchi yetu haina taasisi imara kupambana na watu aina hii ta R Kelly,, wanaume wengi wana tabia chafu,,mfano wa mtu km huyu yupo ktk familia mtu mzima ila ana unyama mwingi wa matukio ya kingono, na sipatani nae kabisa mfano ikitokea leo tunabumbulua ya nyuma na ushahidi ukatolewa wapo watu watabisha hata wakati matukio yanafanyika, wapo walioyafumba fumba kuficha aibu,,

Kwahiyo wanaomtetea huyu mtu sababu ya uafrika mnakosea mteteeni pasipo kuhusisha rangi yake ya ngozi,,

Kuna makala niliisoma kuwa kati ya wanawake 3 basi 2 walishanyanyaswa kingono na wanyanyasaji ni wanaume,, so msemo wa Dinazarde zaidi ya nusu ya wanaume wataozea jela endapo haya yakichukuliwa hatua za kisheria
Kabisa wanaume wengi wana tabia za ajabu wachache sana ndio waadilifu
 
Ni vile tu nchi yetu haina taasisi imara kupambana na watu aina hii ta R Kelly,, wanaume wengi wana tabia chafu,,mfano wa mtu km huyu yupo ktk familia mtu mzima ila ana unyama mwingi wa matukio ya kingono, na sipatani nae kabisa mfano ikitokea leo tunabumbulua ya nyuma na ushahidi ukatolewa wapo watu watabisha hata wakati matukio yanafanyika, wapo walioyafumba fumba kuficha aibu,,

Kwahiyo wanaomtetea huyu mtu sababu ya uafrika mnakosea mteteeni pasipo kuhusisha rangi yake ya ngozi,,

Kuna makala niliisoma kuwa kati ya wanawake 3 basi 2 walishanyanyaswa kingono na wanyanyasaji ni wanaume,, so msemo wa Dinazarde zaidi ya nusu ya wanaume wataozea jela endapo haya yakichukuliwa hatua za kisheria
Nafurahi kuwa miongoni mwa wanaume wachache ambao hawataozea jela.
 
Deep deep kiongozi.....yaaan hakuna hata ushahidi wa maana zaidi ya blah blah mimi hizi kesi nilikkuwa nazifatilia, ni ana ugomvi na nani sijui kaamua kumchoma hivi jamaa[emoji848]

Nasikia kawekewa security ya kufa mtu maana anataka kujiua?

Hapana hataki kujiuwa wala hakuwaza kujiuwa
Na yeye amesema wala hajafikiria kujiuwa ila wanamdhalilisha tu

Unajua ukiisha onekana unataka kujiuwa, unavuliwa nguo zote na kupewa za karatasi [emoji23] ili usijinyonge na nguo zako
Hapo ni udhalilishaji wa pili na wa kwanza unatengwa na kufungwa peke yako ili uzidi kuchanganyikiwa

Halafu hii ndio kali huwezi kupewa chakula kwenye sahani zozote na hata kijiko wala uma maana utajidhuru navyo

Hawa watu wakitaka kukuuwa kwa msongo utaondoka mwenyewe
Sasa anataka kufungua kesi kwa kusingiziwa kutaka kujiuwa daaa

Haya mambo yao hawa ni kiboko na sisi tunasoma tu
 
Back
Top Bottom