Mwanamuziki Robert Kelly (R. Kelly) afungwa kifungo cha miaka 30 jela

sasa tofuati ya mashtaka yake na R kelly ni nini??? hapa sisemi kuhusu uzungu ila rangiii weupee wanakula mserereko...
Unaonekana hujui hata maana ya racism. Yaani kwa kuwa Tekashi ni light skined ndio maana alipewa kifungo kidogo? Halafu kama ulikuwa hujui, Tekashi alipewa kifungo kidogo baada ya ku-snitch na kuwaunguzia picha washikaji zake kutoka Treyway gang. Waendesha mashitaka walimpa deal kwamba akikubali ku-snitch watampunguzia kifungo.
 
Sasa kwanini na yy apende wtt wadogo jamani?
 
Lile kaburu lililo mkandamiza yule black America shingo haradhani na kupelekwa kifo chake na kusababisha maandamano makubwa ya black lives matter limehukumiwa miaka 15,

Robert Kelly ambaye hakuna aliyeshuhudia akibaka hao watoto wadogo anakula miaka30,

Harafu bado mnasema hakuna ubaguzi.
 
So mkuu unashaurije!??
twende Americano tukakinukishe au!!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…