Mwanamuziki Robert Kelly (R. Kelly) afungwa kifungo cha miaka 30 jela

Mwanamuziki Robert Kelly (R. Kelly) afungwa kifungo cha miaka 30 jela

Huyu long time alikuwaga na skendo ya kugegeda watoto wadogo
Kuna watu ni kama wana addiction ya kutembea na watoto wadogo hata huku kwetu wapo
Any way ndiyo hivyo tena umaarufu umemchangia

Ova
Kesi zimefufuliwa ni baada ya kutaka kuiacha systems iliyomlea
 
Safi sana akafie jela
Kwa wasiojua tu huyu jamaa alikutwa kwenye laptop yake images za watoto wadogo mpaka miaka miwili wakiwa uchi akiwa ame download images zaidi ya Elfu tatu

Amebaka sana ameshiriki ngono kwa underage
Hakuna ubaguzi hapo bali alitenda madhambi yote
Kuna watu washenzi sana hivi unaanzaje kuwa na mapenzi ya kuangalia uchi wa mtoto wa miaka miwili au mitatu kama sio sicko?

Jeffrey Epstein alikuwa mweupe kafa na dhambi zake na alikuwa rafiki mkubwa wa Prince Andrew na watu wamemchukia Andrew kuwa na rafiki wa hivyo
Nae alikuwa na kesi kama hii hii ya Kelly na alihukumiwa miaka 20 jela na baadae kukutwa kafa jela ya Manhattan
Epstein mpaka akakodi kisiwa
 
Back
Top Bottom