Mwanamuziki Robert Kelly (R. Kelly) afungwa kifungo cha miaka 30 jela

Huyu long time alikuwaga na skendo ya kugegeda watoto wadogo
Kuna watu ni kama wana addiction ya kutembea na watoto wadogo hata huku kwetu wapo
Any way ndiyo hivyo tena umaarufu umemchangia

Ova
Kesi zimefufuliwa ni baada ya kutaka kuiacha systems iliyomlea
 
Epstein mpaka akakodi kisiwa
 
Masikitiko makubwa sisi tulio enjoy mziki wa gwiji huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…