Mwanamuziki TID akamatwa kwa kushindwa kulipa bili Bar

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,686
Reaction score
46,842
Mwanamuziki mkongwe wa Bongofleva, TID amekamatwa na kuwekwa ndani baada ya kushindwa kulipa bili ya vinywaji alivyokunywa na marafiki zake.

Inaelezwa TID alitumia vinywaji vya takribani Sh500,000 katika bar ya Kitambaa Cheupe Tabata lakini ilipofikaa saa ya kulipa ikawa ugomvi.
 
Mkuu

Huyu huyu mpiga zeze, Looh hakika dhahama humkuta yoyote.
 
Tid ni mjeuri sidhani km anakosa laki 5 ya kulipa pale, ukizingatia alifanya na show, akagoma kumalizia kiasi amaliziwe milioni yake, na akapewa, kwahiyo pale anagoma kulipa bili tayari mfukoni ana milioni hatujui hizo nyimgine alilipwaje na lini?
 
Back
Top Bottom