hio kesi ndogo, ata ivo watamalizana tu kikubwa kwan haijafika mahakamani bado, mambo ya kawaida sana hayoTid ajiangalie sana anakuaga na gundu na mahakama.
Kipindi kile, kesi ya kumpiga mtu, masihara masihara akala mwaka mzima jela.
Hata yeye hakuamini kama anaweza kufungwa kwa kesi ya kipuuzi kama ile.
Who is this guy.Na haya ndiyo maisha halisi ya walamba midomo na wazee wa show off mara mimi hiki mara kile .
TID mbali na yote kinachomponza uwa ni ego sidhani kama hakukuwa na kitu cha kunyanganywa ili hela ipatikane yawezeakana alileta maneno ya shombo pia
Bila kusahau mbagala piaIpo na sinza pia
Li jack Daniel limoja unajua bei ganii 😀Ustaa bila pesa stress tupu
Anyway laki 5 nzima kunywa tu usiku mmoja,wamfunge kabisa ana matumizi mabaya ya kujisahaulisha umaskini alionao
Li jack Daniel limoja unajua bei ganii 😀
T I D MNYAMAAAAAMwanamuziki mkongwe wa Bongofleva, TID amekamatwa na kuwekwa ndani baada ya kushindwa kulipa bili ya vinywaji alivyokunywa na marafiki zake.
Inaelezwa TID alitumia vinywaji vya takribani Sh500,000 katika bar ya Kitambaa Cheupe Tabata lakini ilipofikaa saa ya kulipa ikawa ugomvi.
Haujakosea kaka ,madawa ni changamoto sanaWho is this guy.
Makuzi ni brother ambae hajui ki akili utoto utoto na UJINGA mwingi sana KICHWANI mwake
Inasemwa alikuaga anatumia madawa ya kulevyaa yeye na ngwea
WAKIJIITA.. WANYAMAAAAAAA
Kuna watu wanalipwa laki 3 na still wanaoa atashindwa kwa laki 5? Kwa uchumi wa Tanzania mishahara mikubwa inaanzia laki 5Utaoa kweli?
Ushamba mzigo.Aisee kumbe kitambaa cheupe ipo Tabata,🙌
Eeeh laki 5 mbona ni chapu tu mkuu
MShahara wako mtu ananywea pombe. Dharau hiziSasa 500k ya kushindwa kulipa kweli? Wamfunge tu.
NB: huo ndio mshahara wangu bila makato.
At least ume comment, nikuwa natafuta uzi wako hupatikn habari za siku ?MShahara wako mtu ananywea pombe. Dharau hizi
Ahahaha.At least ume comment, nikuwa natafuta uzi wako hupatikn habari za siku ?