Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
- Thread starter
- #81
Mbagala piaIpo na sinza pia
Mbagala piaIpo na sinza pia
Unataka nikupeleke??Oooh,sikuwa nafahamu,ipo Tabata gani?
Nipo hapa,nakunywa embe.Unataka nikupeleke??
Hata huko juice zipo piaNipo hapa,nakunywa embe.
Nipo kitambaa hapa.Hata huko juice zipo pia
Roho yangu imepata ahueni baada ya kusikia na sisi wa kupokea 500k ni baadhi ya wenye mishahara mikubwaKuna watu wanalipwa laki 3 na still wanaoa atashindwa kwa laki 5? Kwa uchumi wa Tanzania mishahara mikubwa inaanzia laki 5
Hiyo ni kuzalilishana hata kama ww unakuta hiyo gharama haiendani na uhalisia wa vinywaji ulivyokunywa laki Tano nayo pesa si yakubetia team Moja hiyoMwanamuziki mkongwe wa Bongofleva, TID amekamatwa na kuwekwa ndani baada ya kushindwa kulipa bili ya vinywaji alivyokunywa na marafiki zake.
Inaelezwa TID alitumia vinywaji vya takribani Sh500,000 katika bar ya Kitambaa Cheupe Tabata lakini ilipofikaa saa ya kulipa ikawa ugomvi.
Wengi wa master wa zamani ambao hawakujiongeza wanatembelea brand, xama zimebadilika imekuwa aibu sasaSasa 500k ya kushindwa kulipa kweli? Wamfunge tu.
NB: huo ndio mshahara wangu bila makato.
Ulikua unaenda ya sinza? Kama ulikua unaenda nishaichapa kumbeAisee kumbe kitambaa cheupe ipo Tabata,🙌
PESA ndogo sana labda ni aina ya bar nyingi kua localEeeh laki 5 mbona ni chapu tu mkuu
Mambo ya kawaida kwenye biashara ya mtuhio kesi ndogo, ata ivo watamalizana tu kikubwa kwan haijafika mahakamani bado, mambo ya kawaida sana hayo
Ushaichapa mbona.Ulikua unaenda ya sinza? Kama ulikua unaenda nishaichapa kumbe
Now ni chawa wa domo , so domo atamlipiaHii ikifika Mahamakani hatoboi
Anajisikia sio poahHuyo huyo jamaa ukikaa nae karibu unaweka kuchefuka kwa majigambo yake.
Huenda MachawaLaki 5 alikuwa anakunywa kitu gani hicho
Kesho mapema sana YouTube channel 😆😆hapo tumsubiri dudu baya atamponda balaa