Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,727
- 55,401
Hakukuwa na kazi za kufanya
Fresh bruh, ile ilipelekea watu kuwa nje ya jf kwa muda...Ahahaha.
Za siku nzuri kabisa kijana, vipi wewe?
Toka Jf ifungiwe kipindi kile huwez amini leo hii naingia humu kama mara ya 6 tu hivi
Kuna Swali limeulizwa kule, je crush wako ni nani?Si wanasemaga kuwa walevi ni watu wanaopendana imekuwaje wameshindwaje kumlipia mwenzao sa?
Jamaa ana ujinga fulani siku moja Dodoma Rainbow alibeba Jargamaster yangu niliyokuwa nakunywaNa haya ndiyo maisha halisi ya walamba midomo na wazee wa show off mara mimi hiki mara kile .
TID mbali na yote kinachomponza uwa ni ego sidhani kama hakukuwa na kitu cha kunyanganywa ili hela ipatikane yawezeakana alileta maneno ya shombo pia
Pamoja sana boss, ushakua tajiri tayari?Fresh bruh, ile ilipelekea watu kuwa nje ya jf kwa muda...
Tupo hapa matajiri wa jf
Bar laki tano mkiwa company ni dk na hujui imeenda wapi, tena pombe za huko bar kubwa hatari,huletewi bia moja ni mwendo wa bucketsLaki 5 alikuwa anakunywa kitu gani hicho
Hpn bruh...... Naomba kazi mkuuPamoja sana boss, ushakua tajiri tayari?
Starehe gharamaLaki 5 alikuwa anakunywa kitu gani hicho
Ahahahahahaha. Umaweza kulisha nguruwe?😂Hpn bruh...... Naomba kazi mkuu
Naweza bruh,, nipe formula ya ulishaji mimi ni mtoto wa mkulima nimelisha sana hao kipindi hiko nikiwa young 😅Ahahahahahaha. Umaweza kulisha nguruwe?😂
*****,ningempasuaJamaa ana ujinga fulani siku moja Dodoma Rainbow alibeba Jargamaster yangu niliyokuwa nakunywa
Ahahahah...umetisha mpaka hapo sina pingamiziNaweza bruh,, nipe formula ya ulishaji mimi ni mtoto wa mkulima nimelisha sana hao kipindi hiko nikiwa young 😅
Laki 5 alikuwa anakunywa kitu gani hicho
Unazungukwa na machawa bar hawawezi hata kulipa bili.Mwanamuziki mkongwe wa Bongofleva, TID amekamatwa na kuwekwa ndani baada ya kushindwa kulipa bili ya vinywaji alivyokunywa na marafiki zake.
Inaelezwa TID alitumia vinywaji vya takribani Sh500,000 katika bar ya Kitambaa Cheupe Tabata lakini ilipofikaa saa ya kulipa ikawa ugomvi.
Naam bravoAhahahah...umetisha mpaka hapo sina pingamizi
Huku Msingwa kanunua nyingineIpo na sinza pia