HIVI ZILE HARAKATI ZA KUTOKWENDA KU SUPPORT MIZIKI NA SHOW ZA WASANII WALIOIMBA KWENYE KAMPENI ZA CCM MWAKA 2025 ZILIFIA WAPI AU ILIKUWA NI MIKWARA TU ?Who's that guy nani huyo!, between my interview you are passing around! I hate you!!
sio jf tu hata wasiotumia Jf wameshindwa kushikilia bomba hadi mwisho.JF wanafiki ni wengi sana
Tabata liwitiUnataka nikupeleke??
Ulitaka amlipie hiyo bili?..nashangaa waziri wa utamaduni na michezo kakaa kimya tuu
Hapo ni chupa mbili tu za Holden Manz Cabernet(hiyo ni wine)Laki 5 alikuwa anakunywa kitu gani hicho
Ndio mnavyodanganyana huko vijiweniDeni halifungi mtu
Akaja na ngoma kama Asha mwacheni aende jela labda anaweza kuja na ngoma KaliTid ajiangalie sana anakuaga na gundu na mahakama.
Kipindi kile, kesi ya kumpiga mtu, masihara masihara akala mwaka mzima jela.
Hata yeye hakuamini kama anaweza kufungwa kwa kesi ya kipuuzi kama ile.
leta hapa kifungu cha sheria kinachotoa adhabu ya jela kwa kushindwa kulipa deniNdio mnavyodanganyana huko vijiweni
The Civil Procedure Code [CPC], Cap. 33)leta hapa kifungu cha sheria kinachotoa adhabu ya jela kwa kushindwa kulipa deni
Kwanza hiyo siyo kesi ya madaileta hapa kifungu cha sheria kinachotoa adhabu ya jela kwa kushindwa kulipa deni