Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 7,107
- 10,609
😅😅😅Who's that guy nani huyo!, between my interview you are passing around! I hate you!!
😅😅😅Who's that guy nani huyo!, between my interview you are passing around! I hate you!!
Hawezi kunyongwa bwana 😀Ajitqhid hio kes isifike mahakaman kuna kitu kinaniqmbia anaenda kunyongwa kwa kes hio jins alivyo na gundu na jamuhuri
MbagalaAisee kumbe kitambaa cheupe ipo Tabata,🙌
Ushauri wako?Ushamba mzigo.
Kitambaa ipo mpaka mbagala sembuse tabata.
Kumbe!Mbagala
Sinza
Kinondoni ilikufa
Deni halifungi mtuHii ikifika Mahamakani hatoboi
hapo tumsubiri dudu baya atamponda balaaMwanamuziki mkongwe wa Bongofleva, TID amekamatwa na kuwekwa ndani baada ya kushindwa kulipa bili ya vinywaji alivyokunywa na marafiki zake.
Inaelezwa TID alitumia vinywaji vya takribani Sh500,000 katika bar ya Kitambaa Cheupe Tabata lakini ilipofikaa saa ya kulipa ikawa ugomvi.
wanakuonea sana mbona mshahara mdogoSasa 500k ya kushindwa kulipa kweli? Wamfunge tu.
NB: huo ndio mshahara wangu bila makato.
true company za ******* sio,hapo waliofaidi usikute wapambe halafu jamaa kaambiwa alipeMimi ndio maana nanunua nanywea chumbani , zikipanda nalala zangu 😅
Mkuu TID ni dogo? Mtu mwenye umri wa miaka 45 ni dogo? Huyu ni Mzee sio dogo, huo ujinga anaofanya anarudia aliyoyafanya miaka 20 iliyopita. Nje ya mada kidogo,..wadau watanikumbusha, huyu miaka ya nyuma si ndo aliwahi kupuliza sumu club akapata kesi? Lakini pia aliwahi kufungwa kwa kesi nyingine ya kupigana club/bar? Juzikati alisema kahamia Dodoma. Anaitwa kwenye show ya miaka 30 ya bongo flava akatema shit. Matukio kila kukicha. Anyways, mambo yake tumwachie mwenyeweHuyo dogo anabidi kukua na kuachana na drama.
Wamatumbi bwana daahEeeh laki 5 mbona ni chapu tu mkuu
Kabisa , mara nyingi inakua hivyotrue company za ******* sio,hapo waliofaidi usikute wapambe halafu jamaa kaambiwa alipe
Kuitwa Dogo inategemea na umri wakoMkuu TID ni dogo? Mtu mwenye umri wa miaka 45 ni dogo? Huyu ni Mzee sio dogo, huo ujinga anaofanya anarudia aliyoyafanya miaka 20 iliyopita. Nje ya mada kidogo,..wadau watanikumbusha, huyu miaka ya nyuma si ndo aliwahi kupuliza sumu club akapata kesi? Lakini pia aliwahi kufungwa kwa kesi nyingine ya kupigana club/bar? Juzikati alisema kahamia Dodoma. Anaitwa kwenye show ya miaka 30 ya bongo flava akatema shit. Matukio kila kukicha. Anyways, mambo yake tumwachie mwenyewe
TID unamuita Dogo mkuu?Huyo dogo anabidi kukua na kuachana na drama.
MTU uliyemzidi miaka 18 kuna tatizo kumuita Dogo?TID unamuita Dogo mkuu?