Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Hii ikifika Mahamakani hatoboiTid ajiangalie sana anakuaga na gundu na mahakama.
Kipindi kile, kesi ya kumpiga mtu, masihara masihara akala mwaka mzima jela.
Hata yeye hakuamini kama anaweza kufungwa kwa kesi ya kipuuzi kama ile.
MkuuMwanamuziki mkongwe wa Bongofleva, TID amekamatwa na kuwekwa ndani baada ya kushindwa kulipa bili ya vinywaji alivyokunywa na marafiki zake.
Inaelezwa TID alitumia vinywaji vya takribani Sh500,000 katika bar ya Kitambaa Cheupe Tabata lakini ilipofikaa saa ya kulipa ikawa ugomvi.
Ni bar mzee sio kilabuniLaki 5 alikuwa anakunywa kitu gani hicho
Huyo huyo jamaa ukikaa nae karibu unaweka kuchefuka kwa majigambo yake.Mkuu
Huyu huyu mpiga zeze, Looh hakika dhahama humkuta yoyote.
Eeeh laki 5 mbona ni chapu tu mkuuLaki 5 alikuwa anakunywa kitu gani hicho
500k ndogo sana Mzee ukiwa na company ya watu wanne tuu.Huko hakuna mabaunsa kama wa bar za Kilimahewa-Mwanza?
Ipo na sinza piaAisee kumbe kitambaa cheupe ipo Tabata,🙌
Oooh,sikuwa nafahamu,ipo Tabata gani?Ipo na sinza pia