TANZIA Mwanamuziki Tshala Muana hatunaye tena

TANZIA Mwanamuziki Tshala Muana hatunaye tena

Mwanamuziki maarufu WA jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo Elisabet Tshala Muana Muidikay maarufu Tshala Muana amefariki Léo desemba 10 nchini Kongo
Taarifa iliyodhibitishwa na família haikueleza chanzo chá kifo chake
Tshala muana mkongwe WA muziki amefariki akiwa na umri WA miaka 64
Miongoni mwa vibao alivyotamba navyo marehemu Tshala Muana ni
Esina Bali
Karibu Yako
Dezodezo
Kokola
Marehemu Tshala Muana alizuru Tanzanie mara kadhaa miaka ya 80 na 90
Mkuu hio dezo dezo ndio ile aliimba mzee Fredy Ndala Kasheba?
R I P
 
Back
Top Bottom