TANZIA Mwanamuziki Tshala Muana hatunaye tena

TANZIA Mwanamuziki Tshala Muana hatunaye tena

Kati ya Wadada niliwakubali kwenye Bolingo Music ni Shalla MWANA na
Record yake KARIBU YANGU.
Hatimaye Leo amekamilisha siku zake za kuishi Duniani. Ameondoka
Alikoelekea ni uchaguzi wake Kwa maana
Wokovu ni sasa baada ya kufa Ni hukumu
Hukumu ya kitu gani?
 
Huyu hapa.
IMG-20221210-WA0007.jpg
 
Kati ya Wadada niliwakubali kwenye Bolingo Music ni Shalla MWANA na
Record yake KARIBU YANGU.
Hatimaye Leo amekamilisha siku zake za kuishi Duniani. Ameondoka
Alikoelekea ni uchaguzi wake Kwa maana
Wokovu ni sasa baada ya kufa Ni hukumu

R.I.P legend
 
Back
Top Bottom