TANZIA Mwanamuziki Tshala Muana hatunaye tena

TANZIA Mwanamuziki Tshala Muana hatunaye tena

Pumzika kwa amani, huyu huwa hakosi kwenye my playlist na sichoki kurudia nyimbo zake.
Kokola mm huwa nikienda bar jioni kama dj kazubaaa zubaa nampa play list yangu ya tshala muana na oliver ngomaa lzm azichapezote
 
Tshala Mwana huyu aliwapa Tanesco kibao cha kukatia umeme enzi hizo utasikia "kodi ya nyumba hulipi operation kata umeme inakujaaa" jamaa wako juu ya paa wanang'oa nyaya.
Umeniblesss sana mkuu[emoji23][emoji23]
 
Nimekumbuka mwaka 2002 alikuja kutuburudisha shuleni kwetu wakati wa chakula cha mchana yani dina
 
Back
Top Bottom