Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
R.I.P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani amekufa tena mi najua alishakufa siku nyingi
Kokola mm huwa nikienda bar jioni kama dj kazubaaa zubaa nampa play list yangu ya tshala muana na oliver ngomaa lzm azichapezotePumzika kwa amani, huyu huwa hakosi kwenye my playlist na sichoki kurudia nyimbo zake.
Makamba katema nyongo ni kweli magufuli na bashiru walimuonew mzeee wa watu.Makamba anasemaje?Alikuwa mtu mwema au mbaya ndo akafa?
Hakik nawapenda wote kwenye haka katechno yangu nimeweka nyimbo zao zoteTshala muana
Yondo sister
Mbilia bel
Monica seka
Waliubless muziki wa afrika enzi zile.
Umeniblesss sana mkuu[emoji23][emoji23]Tshala Mwana huyu aliwapa Tanesco kibao cha kukatia umeme enzi hizo utasikia "kodi ya nyumba hulipi operation kata umeme inakujaaa" jamaa wako juu ya paa wanang'oa nyaya.
Babu hakik unajuwa"nayoki Nzambe montindo ya mpasi banyokolii,....tobani bomwani .....nake nairobi ,mpo nasalisa dunii..nake nairobiii nakozonga na dunii..Good music legendary
Ni wake mwana kachanganya kweliMh, kiongozi huu wimbo sio wa Mbilia Bell kweli?!!!!!!
Ubarikiwe popote ulipoUnihurumie, hurumieee
Nakulilia uniteee
Unipeleke kwa mama
Atatupatia mali
Tufunge oh, ndoa ya loteee
Mpenzi oh, mimi na weweee
Ndoa oh, ndoa ya loteee
Karibu oh, Karibu yanguuu [emoji126][emoji1739][emoji126][emoji1739]
AhsanteNi wake mwana kachanganya kweli
Asante mkuuAlikuwa bado angali hai