King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Huyo mbona Mos Def rekebisha
Talib na Mos def wametoka mbali mpaka nikachanganya madesa.
Utakuwa si mfatiliaji muziki wa late 90s and early 2000sHatumjui
Muziki Wa kibongo ni kweliUtakuwa si mfatiliaji muziki wa late 90s and early 2000s
Kuaga DuniaR. I. P.
Kiswahili bado kinanichanganya, ninachojua kufariki ni kufa tu, kwa nini watu huongezea neno "dunia" mwishoni? au kuna kufariki kwa aina nyingi, na mojawapo ni "kufariki dunia? Au tunachanganya na " kuaga dunia"
Nakumbuka hilo kundi lakini msanii mmoja mmoja siwajui
Nakumbuka hilo kundi lakini msanii mmoja mmoja siwajui