mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Enzi zile wana shoot track yao ya bamiza...nlikuwa nao pale jumba la sanaa....sahv eti kuna jengo la NMB kweli maisha yanaenda kasi sanaYes kwenye kundi kuwajua wasanii kwa majina yao ni ngumu mpaka watoe Solo Project ndiyo unaweza kuwajua vizuri....Kwenye hilo Kundi Faza Nelly naye alitoa ngoma yake moja nayo ilitamba sana "Nini dhambi kwa mwenye dhiki" naye kwa bahati mbaya aliuawa kwa kupigwa BETO Arusha.
Hivi yule mpmbv aliyempiga beto faza nelly,alikimbiliwga kenya alikuja dakwa auYes kwenye kundi kuwajua wasanii kwa majina yao ni ngumu mpaka watoe Solo Project ndiyo unaweza kuwajua vizuri....Kwenye hilo Kundi Faza Nelly naye alitoa ngoma yake moja nayo ilitamba sana "Nini dhambi kwa mwenye dhiki" naye kwa bahati mbaya aliuawa kwa kupigwa BETO Arusha.
Simjui
Hatumjui
RIP G-San.Umuofia kwenu wana JF,
Aliyekuwa mwanamuziki aliyeunda kundi la Xplastaz Godson Rutta aka G-Son amefariki dunia akiwa USA baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Ikumbukwe kwamba Gsan ndiyo mtanzania wa kwanza kushiriki tuzo za BET Cyper kwa kutumia lugha ya kiswahili ,kwenye hiyo cypher mwaka 2009 Gsan alishiriki akiwa pamoja na mwagwiji wenzake kina DJPremier ,eminem ,Krs1 ,nipset_the_hustle na wengine kibao.
Joh Makini kwenye track yake moja(Maarifa) alishawahi kutoa Shout-it-out(Sharauti) kwa Late G-san.
"Tule sote maana Mungu ndicho alichonipa ,kama siogopi majini vipi itakuwa Sniper? Lugha ya mama kama G-san kwa Cyper BET".
View attachment 3282240
Marehemu G-San (Mwenye Rasta) akiwa na Marehemu Faza Nelly walikwa wanaunda kundi lao la Xplastaz.
View attachment 3282241
G-San akiwakilisha Tanzania kwenye BET Award 2009 Cypher(Lugha ya Mama kama G-San kwa Cypher BET - Joh Makini -Viva maarifa)
View attachment 3282243
G-San akiwa na Mos Def.
View attachment 3282247
DJ Premier ,G-San na KrS1.
RIP G-San.
Nakumbuka zile awards niliangalia.
Ebwana jamaa alikimbia ,hajaonekana mpaka leo.Hivi yule mpmbv aliyempiga beto faza nelly,alikimbiliwga kenya alikuja dakwa au
Ova
Haaa kumbe ulishuhudia behind the scene ya BAMIZA? Safi sana ,asiee jumba la sanaa imeondoka sehemu ya kihistoria na kupiga NMB HQ.Enzi zile wana shoot track yao ya bamiza...nlikuwa nao pale jumba la sanaa....sahv eti kuna jengo la NMB kweli maisha yanaenda kasi sana
OVA
Ile sehemu ilikuwa na historia kubwa sana na vijana wakati ule ndy walikuwa wanakutana hapoHaaa kumbe ulishuhudia behind the scene ya BAMIZA? Safi sana ,asiee jumba la sanaa imeondoka sehemu ya kihistoria na kupiga NMB HQ.
Duuh poleni sana na Kwa familia pia!Umuofia kwenu wana JF,
Aliyekuwa mwanamuziki aliyeunda kundi la Xplastaz Godson Rutta aka G-Son amefariki dunia akiwa USA baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Ikumbukwe kwamba Gsan ndiyo mtanzania wa kwanza kushiriki tuzo za BET Cyper kwa kutumia lugha ya kiswahili ,kwenye hiyo cypher mwaka 2009 Gsan alishiriki akiwa pamoja na mwagwiji wenzake kina DJPremier ,eminem ,Krs1 ,nipset_the_hustle na wengine kibao.
Joh Makini kwenye track yake moja(Maarifa) alishawahi kutoa Shout-it-out(Sharauti) kwa Late G-san.
"Tule sote maana Mungu ndicho alichonipa ,kama siogopi majini vipi itakuwa Sniper? Lugha ya mama kama G-san kwa Cyper BET".
View attachment 3282240
Marehemu G-San (Mwenye Rasta) akiwa na Marehemu Faza Nelly walikwa wanaunda kundi lao la Xplastaz.
View attachment 3282241
G-San akiwakilisha Tanzania kwenye BET Award 2009 Cypher(Lugha ya Mama kama G-San kwa Cypher BET - Joh Makini -Viva maarifa)
View attachment 3282243
G-San akiwa na Mos Def.
View attachment 3282247
DJ Premier ,G-San na KrS1.
I missed these days manHaaa kumbe ulishuhudia behind the scene ya BAMIZA? Safi sana ,asiee jumba la sanaa imeondoka sehemu ya kihistoria na kupiga NMB HQ.
Jamaa walikuwa mbele ya muda sanaZilikuwa bomba sana ,wakiwa na Teacher KRS-One.
Hajapatikana .... arusha ushamba wa visu visu hawajaanza leo waleEbwana jamaa alikimbia ,hajaonekana mpaka leo.
Kuna goma lao moja linaitwa masai hiphop (aha)Haaa kumbe ulishuhudia behind the scene ya BAMIZA? Safi sana ,asiee jumba la sanaa imeondoka sehemu ya kihistoria na kupiga NMB HQ.
Sema humjui sio hatumjuiHatumjui
Mimi ni TaasisiSema humjui sio hatumjui