Naomba ni wajue memba wa Kwanza unit na xplastaz.Utakuwa si mfatiliaji muziki wa late 90s and early 2000s
Pole kwa familia , ndugu na marafikiUmuofia kwenu wana JF,
Aliyekuwa mwanamuziki aliyeunda kundi la Xplastaz Godson Rutta aka G-Son amefariki dunia akiwa USA baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Ikumbukwe kwamba Gsan ndiyo mtanzania wa kwanza kushiriki tuzo za BET Cyper kwa kutumia lugha ya kiswahili ,kwenye hiyo cypher mwaka 2009 Gsan alishiriki akiwa pamoja na mwagwiji wenzake kina DJPremier ,eminem ,Krs1 ,nipset_the_hustle na wengine kibao.
Joh Makini kwenye track yake moja(Maarifa) alishawahi kutoa Shout-it-out(Sharauti) kwa Late G-san.
"Tule sote maana Mungu ndicho alichonipa ,kama siogopi majini vipi itakuwa Sniper? Lugha ya mama kama G-san kwa Cyper BET".
View attachment 3282240
Marehemu G-San (Mwenye Rasta) akiwa na Marehemu Faza Nelly walikwa wanaunda kundi lao la Xplastaz.
View attachment 3282241
G-San akiwakilisha Tanzania kwenye BET Award 2009 Cypher(Lugha ya Mama kama G-San kwa Cypher BET - Joh Makini -Viva maarifa)
View attachment 3282243
G-San akiwa na Mos Def.
View attachment 3282247
DJ Premier ,G-San na KrS1.
Pumziko la Amani Apate.Hivi kwenye hili kundi si kulikuwa na mwamba wa kujiita Zigi laa kama sikosei?
Yu wapi Ziggy kwa sasa? Mwamba kitambo sana sijamuona wala kumsikia.Ruff Nelly
G-San
Ziggy.
Yu wapi Ziggy kwa sasa? Mwamba kitambo sana sijamuona wala kumsikia.
Poa,wenye taarifa watatuambia ila mara ya mwisho nilisikia yupo US kama sikosei.Mwanangu kitambo kitaa cha Sanawari enzi hizoo.Sijui yuko wapi kwasasa,si unajua mambo ya maisha inafikia kipindi kila mtu anachagua direction yake.
Naomba ni wajue memba wa Kwanza unit na xplastaz.
Huyu VATO ni mjinga flani hivi.Arusha kweli ushamba mwingi wa BETO ,kuna kipindi Jamaa mmoja alitaka kuwafumua vichwa Ibla da hustler na mwenzake FIDO VATO ,Ibra chuma ilimchuna shingoni na VATO ikipalaza kwenye biceps ,ilikuwa nusu jamaa awatangulize kwa kuleta ubabe mbele ya CHUMA.
Huyu VATO ni mjinga flani hivi.
Bonge la Ngoma.Ila huyo fazaNelly hilo goma lake hakunaga
Alipangilia sana mistari yenye focus kabisa,jamaa alikuwa vyedi mnooBonge la Ngoma.