TANZIA Mwanamuziki wa Bongo fleva G-Son wa Xplastaz afariki Dunia

TANZIA Mwanamuziki wa Bongo fleva G-Son wa Xplastaz afariki Dunia

Hajapatikana .... arusha ushamba wa visu visu hawajaanza leo wale

Ova

Arusha kweli ushamba mwingi wa BETO ,kuna kipindi Jamaa mmoja alitaka kuwafumua vichwa Ibla da hustler na mwenzake FIDO VATO ,Ibra chuma ilimchuna shingoni na VATO ikipalaza kwenye biceps ,ilikuwa nusu jamaa awatangulize kwa kuleta ubabe mbele ya CHUMA.
 
Kuna goma lao moja linaitwa masai hiphop (aha)
Kuna wadenish fulani walikuwa wanalipenda sana huko 😄
Walikuwa na fan asee kubwa sana ulaya

Ova
Yes Jamaa walikuwa wanapiga show za nje sana....walistukia biashara mapema.
 
Umuofia kwenu wana JF,

Aliyekuwa mwanamuziki aliyeunda kundi la Xplastaz Godson Rutta aka G-Son amefariki dunia akiwa USA baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Ikumbukwe kwamba Gsan ndiyo mtanzania wa kwanza kushiriki tuzo za BET Cyper kwa kutumia lugha ya kiswahili ,kwenye hiyo cypher mwaka 2009 Gsan alishiriki akiwa pamoja na mwagwiji wenzake kina DJPremier ,eminem ,Krs1 ,nipset_the_hustle na wengine kibao.

Joh Makini kwenye track yake moja(Maarifa) alishawahi kutoa Shout-it-out(Sharauti) kwa Late G-san.

"Tule sote maana Mungu ndicho alichonipa ,kama siogopi majini vipi itakuwa Sniper? Lugha ya mama kama G-san kwa Cyper BET".

View attachment 3282240
Marehemu G-San (Mwenye Rasta) akiwa na Marehemu Faza Nelly walikwa wanaunda kundi lao la Xplastaz.

View attachment 3282241
G-San akiwakilisha Tanzania kwenye BET Award 2009 Cypher(Lugha ya Mama kama G-San kwa Cypher BET - Joh Makini -Viva maarifa)

View attachment 3282243
G-San akiwa na Mos Def.

View attachment 3282247
DJ Premier ,G-San na KrS1.
Tusiomjua hapo ndio yupi
 
Back
Top Bottom