TANZIA Mwanamuziki wa Bongo fleva G-Son wa Xplastaz afariki Dunia

Enzi zile wana shoot track yao ya bamiza...nlikuwa nao pale jumba la sanaa....sahv eti kuna jengo la NMB kweli maisha yanaenda kasi sana

OVA
 
Hivi yule mpmbv aliyempiga beto faza nelly,alikimbiliwga kenya alikuja dakwa au

Ova
 
Kuna baadhi ya wanamuziki tunawajua majina tu na nyimbo zao kwakua kipimdi hicho ilikua kawaida wanamuziki kutoa audio bila video.

Au ana nyimbo hata nane nzuri ila video kaufanyia wimbo mmoja tu. Plus enzi hizo kumiliki TV ni ishu so inawezekana hawakuona haja ya kuwekeza kwenye video lakini muziki wetu pia haulipi so naweza elewa.
 
RIP G-San.

Nakumbuka zile awards niliangalia.
 
Enzi zile wana shoot track yao ya bamiza...nlikuwa nao pale jumba la sanaa....sahv eti kuna jengo la NMB kweli maisha yanaenda kasi sana

OVA
Haaa kumbe ulishuhudia behind the scene ya BAMIZA? Safi sana ,asiee jumba la sanaa imeondoka sehemu ya kihistoria na kupiga NMB HQ.
 
Haaa kumbe ulishuhudia behind the scene ya BAMIZA? Safi sana ,asiee jumba la sanaa imeondoka sehemu ya kihistoria na kupiga NMB HQ.
Ile sehemu ilikuwa na historia kubwa sana na vijana wakati ule ndy walikuwa wanakutana hapo
Na Don bosco upanga
Kiranga
Safari nyingi,Channel za kwenda nje ulikuwa unapata

Ova
 
Duuh poleni sana na Kwa familia pia!
 
Haaa kumbe ulishuhudia behind the scene ya BAMIZA? Safi sana ,asiee jumba la sanaa imeondoka sehemu ya kihistoria na kupiga NMB HQ.
Kuna goma lao moja linaitwa masai hiphop (aha)
Kuna wadenish fulani walikuwa wanalipenda sana huko 😄
Walikuwa na fan asee kubwa sana ulaya

Ova
 
huyo jamaa ni muhaya wa arusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…