TANZIA Mwanamuziki wa Bongo fleva G-Son wa Xplastaz afariki Dunia

Pole kwa familia , ndugu na marafiki
 
Sijui yuko wapi kwasasa,si unajua mambo ya maisha inafikia kipindi kila mtu anachagua direction yake.
Poa,wenye taarifa watatuambia ila mara ya mwisho nilisikia yupo US kama sikosei.Mwanangu kitambo kitaa cha Sanawari enzi hizoo.
 
Naomba ni wajue memba wa Kwanza unit na xplastaz.
Soma hii thread Pitia mchango wa mamakibunju ambao nimeuquote hapa uwajue kwanza unit, kuna thread nyingi za zamani zinazoeleza muziki na wanamuziki wa mwanzo kabisa na stori zao

"Adili Kumbuka aka Nigger one alikufa kitambo kwa ajali ya gari maeneo ya Nyumba ya sanaa alikuwa alitokea kwenye mashindano ya Ku Rap yaliyokuwa yanaitwa YO RAP BONANZA, pia nigger one alikuwa ni mmoja wa waanzilishi wakundi la KWANZA UNIT pamoja na DRob(r.i.p), Ramson, Ythang, Bernald Luanda aka EaZy B na Koshuma...."
 
Huyu VATO ni mjinga flani hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…