Mwanamuziki wa kitanzania Aslay aanguka jukwaani Kisumu, Kenya

Unanikosea heshima kijana. Nakumbuka ulifanya nipig ban baada ya kunitusi nyani halafu ukapotea kwa muda mrefu. IDon't argue with cowards potelea mbali. Kwa taarifa yako mimi si kahaba na hakuna siku itatokea niwe. Can't afford to lose my dignity
Achana nao hao vilaza, kuna maneno mengine ambayo ni wanawake tu ndio huwa wanayatumia wakati wanurushiana vijembe wao wenyewe kwa wenyewe. Hapa Jf pekee yake ndio huwa naona wanaume ambao wanaona ni sifa kuwadhalilisha wanawake wakishalemewa kwenye hoja. Aina hiyo ya wanaume ndio watu useless kabisa.
 
Shida hao majiran wana roho mbaya sana basi tu.. majuzi walimfanyia harmonise leo aslay jaman kakijana kadogo hako wanakafanyia hayo.. wakija kwetu tunakuwa wakarimu kwao na wao wanatakiwa wafanyiwe ya ajabu kama wanavyowafanyia ndugu zetuu.. pole sana aslay pole sana mdogo wanguu..😥
 
Kumbe unamjua. Wanafiki sana nyie
sasa nisimjue kwa nini wakati dada yako ndo walikuwa wasanii wake hao,kila siku oohh nyotandogo,sijui juakali,sijui genge dah yule mwanamke japokuwa kalikuwa kazuri black beauty flani hivi dah!!
 
umemjibu vema sana huko aliko anajiona mjinga
 
anapiga music gani? aisee... poleni sana wasanii... ni mwanamuziki wa band gani au kundi gani?
 
lile housemaid kahaba la kenya linatafuta attention kwa kutaja ID yangu.

ila mwambieni aendelee kunitaja cos she is my number one fan.
 
umemjibu vema sana huko aliko anajiona mjinga

wakenya hata siku moja hawawezi kunisumbua kwenye argument...mimi siku zote huwa nacheza na facts wakati wao wanajikita kwenye kupiga porojo.
 
kahaba housemaid la kikenya lina monitor kila ninacho andika hapa jf.

liko pre-occupied na post zangu...nali keep busy.

moral of the story is, ukiona mtu anakufatilia sana basi ujue wewe ni celebrity wake.
 

Mimi mtanzania lakini sikubaliani na maneno yako. Hiyo ni ajali kama ajali nyingine labda waandaaji walizembea tu. Ingeweza hata ikayokea kwa Mkenya au yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…