Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Dah.., kwani Hana ndugu na watoto, ambao akiindoka atawaachia majonzi na sikitiko? Pia huyu ni nguvu kazi na rasilimali ya Taifa, kifo chake hakitamwathiri yeye peke yake tu, ila hata sisi mashabiki wa kazi zake za sanaa.Hehehe!! Jamaa anachekesha ila muacheni bana kwa raha zake maana dunia hii tunapita, ukiwa na fursa ya kufurahi...wewe jiachie tu.
Inaruhusiwa mara moja moja unakua kama chizi vile....haya maisha hayana ramani.....ukivuta cha Arusha basi jiachie wakushangae.
Atapimwa hadi meno kama akipiga mswaki anasukutulia maji ya betri, au maji yaliyooshewa maitiApimwe mkojo pia kwa ajili ya kudetect BANGI.
ππ huyu jamaa si mzima! Dah!...
ππ huyu jamaa si mzima! Dah!...
Dah.., kwani Hana ndugu na watoto, ambao akiindoka atawaachia majonzi na sikitiko? Pia huyu ni nguvu kazi na rasilimali ya Taifa, kifo chake hakitamwathiri yeye peke yake tu, ila hata sisi mashabiki wa kazi zake za sanaa.
Kwa hiyo huyo ng'ombe ndio mpenzi wake sio? Hapo wako kwenye love scene πWapi umeona akihatarisha maisha, kuparamia ng'ombe?? Ana tofauti gani na wale jamaa kwenu huko husafiria ungo??? Heheehehe!!!
Ulaya kule Uhispania watu hucheza michezo ya hatari kwa kukimbizana na mafahali ila hamuwasemi.Kwa hiyo huyo ng'ombe ndio mpenzi wake sio? Hapo wako kwenye love scene π
Hatuwasemi mimi na Nani?Ulaya kule Uhispania watu hucheza michezo ya hatari kwa kukimbizana na mafahali ila hamuwasemi.
Mapovu kama yooote..... Ni yeyeeeeeUlaya kule Uhispania watu hucheza michezo ya hatari kwa kukimbizana na mafahali ila hamuwasemi.
Hatuwasemi mimi na Nani?
Iangalie hii picha, je haijatoka www.kenyanlist.com?
Kwa hiyo ni nyie wa kujisema wenyewe na huyo mtu wenu.
Ngoja nikupe chanzo cha nilikoipata hii maneno.