Mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Chris Embarambamba kupimwa akili kutokana na uchezaji wake kwenye video wenye kutia shaka

Umejua kunichekesha. Bila shaka wewe ndio director wake
Wewe na yeyote anayemsema, haijalishi hata kama anasemwa na sijui hao Kenyalist au nani, kimsingi ilipaswa mumuache kwa raha zake, halafu sijaelewa mbona unasema natokwa povu, kwa lipi haswa.
 
Kuna mambo yanafurahisha sana...

Mbona kawaida sana... labda aache matumizi ya bangi tuu...
 
Watetezi wa haki za binadamu nchini Kenya wametaka mwanamuziki kutoka kabila la Kisii nchini humo afanyiwe uchunguzi wa akili kutokana na matukio ambayo amekuwa akiyafanya kwenye video zake.
Uchunguzi huo unatarajiwa kufanyika katika hospitali ya magonjwa ya akili ya Mathari.
Iwapo atagundulika kuwa na akili timamu anaweza kujikuta akiburuzwa mahakamani kwa kosa la kuyahatarisha maisha yake na watu wengine.

View attachment 1718963View attachment 1718964
iseee wakenya bhana huenda walijua huyo ni mdogo wake boni mwaitege..😛😛😀😀
 
Watetezi wa haki za binadamu nchini Kenya wametaka mwanamuziki kutoka kabila la Kisii nchini humo afanyiwe uchunguzi wa akili kutokana na matukio ambayo amekuwa akiyafanya kwenye video zake.

Uchunguzi huo unatarajiwa kufanyika katika hospitali ya magonjwa ya akili ya Mathari.

Iwapo atagundulika kuwa na akili timamu anaweza kujikuta akiburuzwa mahakamani kwa kosa la kuyahatarisha maisha yake na watu wengine.

View attachment 1718963View attachment 1718964
Hahaha. Huyo hayupo timamu.
 
Back
Top Bottom