Mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Chris Embarambamba kupimwa akili kutokana na uchezaji wake kwenye video wenye kutia shaka

Mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Chris Embarambamba kupimwa akili kutokana na uchezaji wake kwenye video wenye kutia shaka

Watetezi wa haki za binadamu nchini Kenya wametaka mwanamuziki kutoka kabila la Kisii nchini humo afanyiwe uchunguzi wa akili kutokana na matukio ambayo amekuwa akiyafanya kwenye video zake.

Uchunguzi huo unatarajiwa kufanyika katika hospitali ya magonjwa ya akili ya Mathari.

Iwapo atagundulika kuwa na akili timamu anaweza kujikuta akiburuzwa mahakamani kwa kosa la kuyahatarisha maisha yake na watu wengine.

View attachment 1718963View attachment 1718964
Naweza kukubaliana nawe. Maana huyu Omugusii alivyotoka na kibao chake cha kwanza kilichobeba jina la Embalambala hakuwa kama alivyo sasa ambapo unashindwa kujua kama ni mzima au manjonjo. Juzi juzi alizuiliwa kucheza mbele ya rais Kenyatta baada ya kuanza vituko vyake vilviyomuonesha kama mchizi vile. Mie huwa namhusudu Ong'ong'o mzee wa rikurunyau.
 
ha
Dah.., kwani Hana ndugu na watoto, ambao akiindoka atawaachia majonzi na sikitiko? Pia huyu ni nguvu kazi na rasilimali ya Taifa, kifo chake hakitamwathiri yeye peke yake tu, ila hata sisi mashabiki wa kazi zake za sanaa.
hahahahahhaaaaa
 
Huyu jamaa mbona sio mtulivu kama Mogusii mwenzake Kama Monyoncho?
 
Jamaa kumbe upo, sijakusoma siku nyingi nilidhani wewe huyu hapa Maafisa uhamiaji Walivyomtesa mtuhumiwa, Je, Sheria inawaruhusu?
Jamaa ni wanyama mno, ningekuwa mchawi ningewaroga bure kabisaaaaa
Mtu unapata wapi ujasiri wa kutoka kitaa unakwenda kutapeli jeshini, kwanza ana bahati sana hao ni uhamiaji, kidogo wapo lege lege, wangekua wale akina FFU mbona angetoka akiwa na six packs.
Watu wamechoka, wanajivisha mabomu. Kitendo alichokifanya jamaa ni sawa na kuuza moyo wako ili upate hela ya matumizi
 
Watetezi wa haki za binadamu nchini Kenya wametaka mwanamuziki kutoka kabila la Kisii nchini humo afanyiwe uchunguzi wa akili kutokana na matukio ambayo amekuwa akiyafanya kwenye video zake.

Uchunguzi huo unatarajiwa kufanyika katika hospitali ya magonjwa ya akili ya Mathari.

Iwapo atagundulika kuwa na akili timamu anaweza kujikuta akiburuzwa mahakamani kwa kosa la kuyahatarisha maisha yake na watu wengine.

View attachment 1718963View attachment 1718964
Hahahah anafanya ubunifu kwenye video bana wamuache
 
Back
Top Bottom