WehuDunia ina maajabu,huu nao n ubunifu
Naweza kukubaliana nawe. Maana huyu Omugusii alivyotoka na kibao chake cha kwanza kilichobeba jina la Embalambala hakuwa kama alivyo sasa ambapo unashindwa kujua kama ni mzima au manjonjo. Juzi juzi alizuiliwa kucheza mbele ya rais Kenyatta baada ya kuanza vituko vyake vilviyomuonesha kama mchizi vile. Mie huwa namhusudu Ong'ong'o mzee wa rikurunyau.Watetezi wa haki za binadamu nchini Kenya wametaka mwanamuziki kutoka kabila la Kisii nchini humo afanyiwe uchunguzi wa akili kutokana na matukio ambayo amekuwa akiyafanya kwenye video zake.
Uchunguzi huo unatarajiwa kufanyika katika hospitali ya magonjwa ya akili ya Mathari.
Iwapo atagundulika kuwa na akili timamu anaweza kujikuta akiburuzwa mahakamani kwa kosa la kuyahatarisha maisha yake na watu wengine.
View attachment 1718963View attachment 1718964
hahahahahhaaaaaDah.., kwani Hana ndugu na watoto, ambao akiindoka atawaachia majonzi na sikitiko? Pia huyu ni nguvu kazi na rasilimali ya Taifa, kifo chake hakitamwathiri yeye peke yake tu, ila hata sisi mashabiki wa kazi zake za sanaa.
😄🤣😂Ebwanaaaa eee utadhani Don Nalimison
Jamaa ni wanyama mno, ningekuwa mchawi ningewaroga bure kabisaaaaaJamaa kumbe upo, sijakusoma siku nyingi nilidhani wewe huyu hapa Maafisa uhamiaji Walivyomtesa mtuhumiwa, Je, Sheria inawaruhusu?
Jamaa ni wanyama mno, ningekuwa mchawi ningewaroga bure kabisaaaaa
Jamaa ni wanyama mno, ningekuwa mchawi ningewaroga bure kabisaaaaaJamaa kumbe upo, sijakusoma siku nyingi nilidhani wewe huyu hapa Maafisa uhamiaji Walivyomtesa mtuhumiwa, Je, Sheria inawaruhusu?
Watu wamechoka, wanajivisha mabomu. Kitendo alichokifanya jamaa ni sawa na kuuza moyo wako ili upate hela ya matumiziMtu unapata wapi ujasiri wa kutoka kitaa unakwenda kutapeli jeshini, kwanza ana bahati sana hao ni uhamiaji, kidogo wapo lege lege, wangekua wale akina FFU mbona angetoka akiwa na six packs.
AiseeApimwe mkojo pia kwa ajili ya kudetect BANGI.
Kinaitwa Embarambamba😀 Kiumbe gani hicho
Kinaitwa Embarambamba
Alialikwa kutumbuiza mbele ya rais mabodigadi wakamzuiaIla hicho Kiumbe hakifai,izo sarakas mchina akasome
Hahahah anafanya ubunifu kwenye video bana wamuacheWatetezi wa haki za binadamu nchini Kenya wametaka mwanamuziki kutoka kabila la Kisii nchini humo afanyiwe uchunguzi wa akili kutokana na matukio ambayo amekuwa akiyafanya kwenye video zake.