TANZIA Mwanamuziki Waziri Sonyo afariki dunia

wewe huna umri wa kumuita Marehemu dogo, watu wote mnaoandika maneno kama "lkn" , "miaka ya" hamjazidi miaka 30. Sonyo na baba yako wapo sawa.
Yeah Sonyo ni mkubwa,miaka aliyosema jamaa hapo juu 2001/4 alikuwa anaonekana mtu mzima kwa kumtizama alikuwa na kama 36/39 so kwa vyovyote amesogea kiasi chake.

Mungu amrehemu.

Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app
 
Zamani zamani kwenye magazeti huyu jamaa aliwahi kuripotiwa kuwa alikuwa jambazi na alikwenda mpaka jela. Allah ampe makazi anayostahili.
 
Inawezekana alikuwa nayo tayari.Shida ni huko kaambukiza wangapi huko mpirani,@,kwenye daladala.R.IP Waziri Sonyo. Halafu wanene inawaondoa faster.
hivi sister kwa umaarufu aliokuwa nao atakosa magonjwa mengine kama HIV, DIABETES, e.t.c, Je hayo magonjwa yanaambukiza?
 
Wana jf

Waziri Sonyo atunaye Tena Mzee wa mapikipiki.
 

Attachments

  • Screenshot_20210224-103510.png
    60.6 KB · Views: 8
Rest in peace waziri mwenye sauti yake
 
RIP Mpendwa, japo sijawahi hata kumsikia lol
 
wewe huna umri wa kumuita Marehemu dogo, watu wote mnaoandika maneno kama "lkn" , "miaka ya" hamjazidi miaka 30. Sonyo na baba yako wapo sawa.
Baba yangu anaingiaje hapa? Umekosa tusi mpaka umtaje baba? Au nimuambie alianzishe?
 
sikosagi mkuu nyimbo za zomboko nilivyo kuwa mdogo wazazi na mabro walikuwa wakizisikiliza nilikuwa sizipendi,
Nashangaa nimeanza kuzipenda kipindi hiki kinoma,,,,sijui nimekuwa mzee?
Mavumbi ya kokoto huyaoni? Ukiyaona ujue umekua
 
Wote ulio wataja nawakubali lkn uongo mbaya. Twanga walikua juu. Usinikumbushe enzi za Mango, beer nyingi na Malaya wa Kinondoni
 
Hajui asemacho mkuu[emoji3]
 
Chuchu sound nyimbo zao siwezi choka waliondoka na vipaji vyao.kama DDC mlimani park

Chuchu sound
Mao santiago
Omary mkali
Waziri sonyo
Na wengine

Da kweli maisha ni safari
jamaa walisababisha mpaka nikapiga div three a level kwa kukesha Vatican city kucheza chuchu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…