TANZIA Mwanamuziki Waziri Sonyo afariki dunia

TANZIA Mwanamuziki Waziri Sonyo afariki dunia

wewe huna umri wa kumuita Marehemu dogo, watu wote mnaoandika maneno kama "lkn" , "miaka ya" hamjazidi miaka 30. Sonyo na baba yako wapo sawa.
Yeah Sonyo ni mkubwa,miaka aliyosema jamaa hapo juu 2001/4 alikuwa anaonekana mtu mzima kwa kumtizama alikuwa na kama 36/39 so kwa vyovyote amesogea kiasi chake.

Mungu amrehemu.

Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app
 
Zamani zamani kwenye magazeti huyu jamaa aliwahi kuripotiwa kuwa alikuwa jambazi na alikwenda mpaka jela. Allah ampe makazi anayostahili.
 
Inawezekana alikuwa nayo tayari.Shida ni huko kaambukiza wangapi huko mpirani,@,kwenye daladala.R.IP Waziri Sonyo. Halafu wanene inawaondoa faster.
hivi sister kwa umaarufu aliokuwa nao atakosa magonjwa mengine kama HIV, DIABETES, e.t.c, Je hayo magonjwa yanaambukiza?
 
Wana jf

Waziri Sonyo atunaye Tena Mzee wa mapikipiki.
 

Attachments

  • Screenshot_20210224-103510.png
    Screenshot_20210224-103510.png
    60.6 KB · Views: 8
Rest in peace waziri mwenye sauti yake
 
wewe huna umri wa kumuita Marehemu dogo, watu wote mnaoandika maneno kama "lkn" , "miaka ya" hamjazidi miaka 30. Sonyo na baba yako wapo sawa.
Baba yangu anaingiaje hapa? Umekosa tusi mpaka umtaje baba? Au nimuambie alianzishe?
 
sikosagi mkuu nyimbo za zomboko nilivyo kuwa mdogo wazazi na mabro walikuwa wakizisikiliza nilikuwa sizipendi,
Nashangaa nimeanza kuzipenda kipindi hiki kinoma,,,,sijui nimekuwa mzee?
Mavumbi ya kokoto huyaoni? Ukiyaona ujue umekua
 
Unaifahamu TOT Plus iliyokuwa na Sonyo, Banza, Misambano na Toto Tundu!! Kama siyo kusambaratishwa mapema walipotoa album moja tu, hakuna band ingetia mguu pale!!

Twanga walikuja kuwa vyema baada ya kuanza kusambaratisha band zingine na kununua wasanii!! Akamchukua Mwinjuma, Banza, Ado Mbinga ndipo band ikasimama vyema ambapo band pinzani zikajifia!!
Wote ulio wataja nawakubali lkn uongo mbaya. Twanga walikua juu. Usinikumbushe enzi za Mango, beer nyingi na Malaya wa Kinondoni
 
Mkuu ile TOT ya banza stone na albamj yake ya elimu ya mjinga ni majungu ilikuwa ni kiboko, african stars walikuwa wanatafuta pa kuhemea, baada ya banza kusepa ndio twanga wakaanza kutamba tena..
African stars walitoa ngoma nzuri ila sio kali kama za tot ya banza, yule jamaa alikuwa ni mwalimj wa walimu.. Noma sana kile kiumbe.
Hajui asemacho mkuu[emoji3]
 
Chuchu sound nyimbo zao siwezi choka waliondoka na vipaji vyao.kama DDC mlimani park

Chuchu sound
Mao santiago
Omary mkali
Waziri sonyo
Na wengine

Da kweli maisha ni safari
jamaa walisababisha mpaka nikapiga div three a level kwa kukesha Vatican city kucheza chuchu
 
Back
Top Bottom