Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,171
- 15,760
Yeah Sonyo ni mkubwa,miaka aliyosema jamaa hapo juu 2001/4 alikuwa anaonekana mtu mzima kwa kumtizama alikuwa na kama 36/39 so kwa vyovyote amesogea kiasi chake.wewe huna umri wa kumuita Marehemu dogo, watu wote mnaoandika maneno kama "lkn" , "miaka ya" hamjazidi miaka 30. Sonyo na baba yako wapo sawa.
Mungu amrehemu.
Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app