Xavi Hernandez Alcantara
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 278
- 285
Achana na Yemi Alade,Tiwa Savage katika mziki wa Nigeria na Afrika kwa ujumla.
Lakini huyu mdada Wa kuitwa Simi. Moja kati ya msani Anayejua sana. Kwenye Sauti hao kina Yemi,Tiwa wote wanasubiri.
Kwenye ngoma zake anauwa sana. Joromi ni mfano. Akishirikishwa ndio kabisa...
Falz alimpa shavu kwenye ngoma ya Soldier. Simi alikomesha mno kwa Sauti yake Amaizing (kama Rihanna). Mr Eazi akampa shavu Simi kwenye kete ya Surrender. ilitoka mno Mr Eazi akarudi nae tena kwenye Doyin bado Simi hakumuangusha.
Wangapi tunamfahamu huyu Simi? Au kina Yemi,Tiwa wamekaa akilini sana?