Mwanamziki Simi

Mwanamziki Simi

Xavi Hernandez Alcantara

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2019
Posts
278
Reaction score
285
Achana na Yemi Alade,Tiwa Savage katika mziki wa Nigeria na Afrika kwa ujumla.

Lakini huyu mdada Wa kuitwa Simi. Moja kati ya msani Anayejua sana. Kwenye Sauti hao kina Yemi,Tiwa wote wanasubiri.
Kwenye ngoma zake anauwa sana. Joromi ni mfano. Akishirikishwa ndio kabisa...

Falz alimpa shavu kwenye ngoma ya Soldier. Simi alikomesha mno kwa Sauti yake Amaizing (kama Rihanna). Mr Eazi akampa shavu Simi kwenye kete ya Surrender. ilitoka mno Mr Eazi akarudi nae tena kwenye Doyin bado Simi hakumuangusha.

Wangapi tunamfahamu huyu Simi? Au kina Yemi,Tiwa wamekaa akilini sana?
 
Katoa nyimbo mpya jana ama juzi kama sijakosea inaitwa selense kali sana,kale kasauti ni balaa,kiufupi mimi katika listi yangu ya wasanii wa kike Nigeria ni kama ifuatavyo;Tiwa savage,Simi,Dijjah yule wa lebo ya don jazzy(Marvin),Chidinma na Yemi alade.
 
Dija ana ngoma flani na Patoranking imetulia mno.

Mi namuelewa sana huyu Simi. Lkn Nashangaa hapigi maViews ya kutosha Youtube Why Why?
 
Dija ana ngoma flani na Patoranking imetulia mno.

Mi namuelewa sana huyu Simi. Lkn Nashangaa hapigi maViews ya kutosha Youtube Why Why?
It means wewe unamuelewa sana lakini kwa wengi haeleweki kwa kiwango wanachoeleweka akina Tiwa Savage na Yemi Alade.
 
Nimeanza kumfahamu alipotoa JOROMI ... hii ngoma haijawahi kuchuja masikioni kwangu.. ni ngoma kali sana fanya uitafute youtube hutajuta
 
Back
Top Bottom