Mwanamziki Simi

Ayo naupenda kupitiliza aiseeh. nawatumia pia watu mbalimballi na kuwaencourage kusikiliza sema ndo vile kil amtu ana ladha yake kwenye mziki ila nikimkuta mtu anaujua na kuusikiliza huu wimbo napata faraja sana. yaani Beat yake,sauti ya simi plus video sasa namna alivyoifanya na wale wanajamii na ujumbe ndo balaa kabisa. Ule wimbo unaimba muda wowote ukiwa na furaha au huzuni. by the way "ayo" means Joy
Ayo ni kama morning prayer kwangu..

Naupenda sana huo wimbo yaani lyrics, beat, video na kila kitu on point.


Simi yupo vizuri
 
Huu wimbo uanze kusikiliza lyrics ndio utauelewa na hicho ni kitu wengi hawafanyi ndio maana hawauelewi..

Nakumbuka kipindi umetoka ilikuwa kila morning naanza nao au nikiwa down kiasi hadi watu wakawa wanaboreka [emoji23][emoji23]

Ni wimbo mzuri yaani ni kama gospel na udunia kiasi vimewekwa pamoja na hiyo killer tune ndo akaua. Nimefurahi kuona kuna addict mwenzagu [emoji4]
 
Nakapenda kale kasauti kake

ka mwili kake, ka mdomo kake

nikisindikizia na wimbo wangu pendwa

"chemistry" simi ft Falz, wacha weeee

And I knooooow you
Kind of may be really do like me
Maybe I could be your baby
We should stop fronting
Maybe there's something
 
Mkuu tafuta mwingine unaitwa Soldier kafanya na huyo huyo Falz. Ni nomaaaaaa.
 
Mkuu tafuta mwingine unaitwa Soldier kafanya na huyo huyo Falz. Ni nomaaaaaa.
huo ni mzuri ila kashirikishwa,napenda tu kuangalia video ya soldier

nimuone SIMI anavyomdengulia falz,anam benulia kimdomo yani napendaga

kuangalia zile maringo za kina dada, huwa na enjoy mno "sometimes na miss eti"
 
huo ni mzuri ila kashirikishwa,napenda tu kuangalia video ya soldier

nimuone SIMI anavyomdengulia falz,anam benulia kimdomo yani napendaga

kuangalia zile maringo za kina dada, huwa na enjoy mno "sometimes na miss eti"
Mkuu hahahahaha upo Serious haha.
 
Daah huyu mdada namkubali sana yani.... Kama kuna mdada anaefananae nae sura na sauti ile nitangaze ndoa fasta
 
And I knooooow you
Kind of may be really do like me
Maybe I could be your baby
We should stop fronting
Maybe there's something
Hii ni miongoni mwa chorus bora zaidi kuwahi kufanyika aiseeh. yaani ile sauti pale ni nzuri mno. Huo wimbo wametengeneza chemistry nzuri mno kama ilivyo jina la wimbo
 
Namkubali yeye na nyimbo zake..na ile ameimba na mr.ezy ..I surrender....
I surrender to your ilekedi alaf ilekedi yenyewe ni shanga za kiunoni hatari sana ilo lingoma aiseeh walitengeneza chemistry nzuri mno na mr eazi. pia wana ngoma hii nyingine ya doyin ni nzuri mno.
 
Duh sikutegemea kumkuta uzi wa huyu mdada hapa. Naielewa sana ngoma ya yule mume wake anaitwa Adekunle Gold wimbo unaitwa Ire au kwa kiingereza goodness.
 
Huu wimbo uanze kusikiliza lyrics ndio utauelewa na hicho ni kitu wengi hawafanyi ndio maana hawauelewi..

 
Kwenye nyimbo yake ya lovin kuna sehemu anatembea na mchizi wake. Nilicheka sana yale maneno yameandikwa kwenye tisheti. Upande wa mbele imeandikwa

I'm taken
I have a GF
Face your front

Halafu upandr wa nyuma wakaweka msisitizo. Wakaandika,

I said face your front.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…