Nephew
JF-Expert Member
- Jun 29, 2014
- 256
- 295
Ni kweli mkuu, nilichanganya kidogoNadhani Anaitwa Simisola Ogunleye na moja ya albam yake inaitwa kwa jina lake hilo la SIMISOLA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli mkuu, nilichanganya kidogoNadhani Anaitwa Simisola Ogunleye na moja ya albam yake inaitwa kwa jina lake hilo la SIMISOLA
Ayo ni kama morning prayer kwangu..
Naupenda sana huo wimbo yaani lyrics, beat, video na kila kitu on point.
Simi yupo vizuri
Huu wimbo uanze kusikiliza lyrics ndio utauelewa na hicho ni kitu wengi hawafanyi ndio maana hawauelewi..Ayo naupenda kupitiliza aiseeh. nawatumia pia watu mbalimballi na kuwaencourage kusikiliza sema ndo vile kil amtu ana ladha yake kwenye mziki ila nikimkuta mtu anaujua na kuusikiliza huu wimbo napata faraja sana. yaani Beat yake,sauti ya simi plus video sasa namna alivyoifanya na wale wanajamii na ujumbe ndo balaa kabisa. Ule wimbo unaimba muda wowote ukiwa na furaha au huzuni. by the way "ayo" means Joy
Mkuu tafuta mwingine unaitwa Soldier kafanya na huyo huyo Falz. Ni nomaaaaaa.Nakapenda kale kasauti kake
ka mwili kake, ka mdomo kake
nikisindikizia na wimbo wangu pendwa
"chemistry" simi ft Falz, wacha weeee
And I knooooow you
Kind of may be really do like me
Maybe I could be your baby
We should stop fronting
Maybe there's something
huo ni mzuri ila kashirikishwa,napenda tu kuangalia video ya soldierMkuu tafuta mwingine unaitwa Soldier kafanya na huyo huyo Falz. Ni nomaaaaaa.
Mkuu hahahahaha upo Serious haha.huo ni mzuri ila kashirikishwa,napenda tu kuangalia video ya soldier
nimuone SIMI anavyomdengulia falz,anam benulia kimdomo yani napendaga
kuangalia zile maringo za kina dada, huwa na enjoy mno "sometimes na miss eti"
kabisa nakwambia tenaMkuu hahahahaha upo Serious haha.
Yupo huku kwetuDaah huyu mdada namkubali sana yani.... Kama kuna mdada anaefananae nae sura na sauti ile nitangaze ndoa fasta
nipe location mzee babaYupo huku kwetu
Hahahanipe location mzee baba
Nenda kwa Ebitoke Mkuu Wanafanana.Daah huyu mdada namkubali sana yani.... Kama kuna mdada anaefananae nae sura na sauti ile nitangaze ndoa fasta
Hii ni miongoni mwa chorus bora zaidi kuwahi kufanyika aiseeh. yaani ile sauti pale ni nzuri mno. Huo wimbo wametengeneza chemistry nzuri mno kama ilivyo jina la wimboAnd I knooooow you
Kind of may be really do like me
Maybe I could be your baby
We should stop fronting
Maybe there's something
I surrender to your ilekedi alaf ilekedi yenyewe ni shanga za kiunoni hatari sana ilo lingoma aiseeh walitengeneza chemistry nzuri mno na mr eazi. pia wana ngoma hii nyingine ya doyin ni nzuri mno.Namkubali yeye na nyimbo zake..na ile ameimba na mr.ezy ..I surrender....
Achana na Yemi Alade,Tiwa Savage katika mziki wa Nigeria na Afrika kwa ujumla.
Lakini huyu mdada Wa kuitwa Simi. Moja kati ya msani Anayejua sana. Kwenye Sauti hao kina Yemi,Tiwa wote wanasubiri.
Kwenye ngoma zake anauwa sana. Joromi ni mfano. Akishirikishwa ndio kabisa...
Falz alimpa shavu kwenye ngoma ya Soldier. Simi alikomesha mno kwa Sauti yake Amaizing (kama Rihanna). Mr Eazi akampa shavu Simi kwenye kete ya Surrender. ilitoka mno Mr Eazi akarudi nae tena kwenye Doyin bado Simi hakumuangusha.
Wangapi tunamfahamu huyu Simi? Au kina Yemi,Tiwa wamekaa akilini sana?
Huu wimbo uanze kusikiliza lyrics ndio utauelewa na hicho ni kitu wengi hawafanyi ndio maana hawauelewi..
Yaani wimbo ukiupenda utatafuta translation ili uelewe neno baada ya neno. Ni wimbo ambao huchoki kuusikiliza yaani kuna siku nilienda show ya stand up comedy cheka tuu Dj akaupiga kabla ya show kuanza na ndo ilikua mara yangu ya kwanza kwenda show ya comedy aiseeh nlitamani nipayuke kwa sauti dj aurudie. Sijui kama simi atatoa wimbo utakaokuja kunikosha zaidi ya huu. Ayo.
Channel yake haina viewrs wengi sana... ila kuna channel huwa anapost nyimbo zake.Dija ana ngoma flani na Patoranking imetulia mno.
Mi namuelewa sana huyu Simi. Lkn Nashangaa hapigi maViews ya kutosha Youtube Why Why?
Kwenye nyimbo yake ya lovin kuna sehemu anatembea na mchizi wake. Nilicheka sana yale maneno yameandikwa kwenye tisheti. Upande wa mbele imeandikwaNadhani mimi naweza kua shabiki namba moja wa simi hapa bongo.Kuna jambo au msanii ukikutana na mtu wa mbali anamfaham au anaimba nyimb ozake unatabasam na kufurahi mno.
Nilitaka nifungue uzi unaomuelezea simi kinagaubaga na kuwajulisha watu kuhusu huyu mwanamuziki matata mwenye sauti ya dhahabu nikasema nisearch kwanza kama kuna uzi wa simi humu jf mdo nikakutana na huu.
Simi hakuna ngoma yake nisiyoijua iwe yake au aliyoshiriikishwa. nilinza kumwona kwenye ngoma yake na falz ya soldier na hio combo yao ilipelekea wakatoa album ya pamoja inayoitwa chemistry. yaani simi anaimba falz anarap. ni balaa. umo ndani kuna ngoma kama chemistry,shake your body,enough,foreign na nyingine zote kalii.
Ameshirikishwa pia vibao kadhaa na kina patoranking,mr eazi,johnyy drille,mumewe adekunle gold, na wengine wengi. nyimbo zake kali zaidi ni JOROMI,SMILE FOR ME,LOVE DONT CARE,OWANBE na nyimbo yake kali zaidi kuliko zote na ambayo ndiyo nyimbo bora zaidi iliyopita maskioni mwangu mwaka huu ni AYO.
Hii AYO na OJUELEGBA ya wizkid ndo nyimbo zangu mbili bora zaidi za muda wote ambayo sikiziskia mpaka mwili unapata ganzi na vinyweleo vinasisimka. hapa niko naskiliza nyimbo yake mpya inaitwa selense na nasubiri kazi nzuri zaidi kutoka kwa simi. siku simi akija bongo hata kama kiingilio ni laki ngapi ntauza mali zangu zote nikamwone simi nikiwa VIP hata kama sina nauli ya kurudia home.
SIMI will forever be my BEST FEMALE MUSICIAN.
mzeemkavu Mshumaa wa Mbao Ukuta wa wino Starboywiz Architect E.M copernicucci98 Xavi Hernandez Alcantara venance7 MjuviKitambo maji ya gundu pancho boy Kingsmann Ford Range 42774277 Eyce yna2 Unforgetable teledam October man Sizinga roservelt ningendako