Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 10,592
- 15,404
Is the only group of thugsAnaweza kuwa Mwanaharakati huyo sio CHADEMA we umejuaje kuwa ni CHADEMA?
Is the only group of thugsAnaweza kuwa Mwanaharakati huyo sio CHADEMA we umejuaje kuwa ni CHADEMA?
Huyo jamaa kafanya kosa.
Hapo kuwalaumu askari siyo sahihi.
Nilifikiri umehama CCM?Is the only group of thugs
Niende wapi kamanda?Nilifikiri umehama CCM?
Kipochi chake pia kimeburuzwa sijapenda 😂😂😂Kwa jinsi alivyokua anashushwa kwenye hizo ngazi,nilikua naogopa sana asije akajigonga mgongo na kujivunja uti wa mgongo kwenye hizo ngazi,stairs,
Hatari sana,
Yani nilikua naomba kimoyo moyo huyo jamaa afike tu salama huko chini.
Hakina hata 600 ya Maji mrembo Evelyn Salt bado upo❤️Kipochi chake pia kimeburuzwa sijapenda 😂😂😂
Ila una dharau jamani🙄Hakina hata 600 ya Maji mrembo Evelyn Salt bado upo❤️
Unajuaje kama ana akili timamu?Huyo jamaa kafanya kosa.
Hapo kuwalaumu askari siyo sahihi.
Ile ni Biblia- neno la Mungu limeburuzwa sakafuni kwa aibu.Kipochi chake pia kimeburuzwa sijapenda 😂😂😂
Nchi ya Tanzania bado tunaishi kama wanyama. Lakini hii ni kutokana na uongozi. Huyu anaweza kuwa ni mgonjwa wa akili. Mbona kuna njia sahihi za kumtoa nje?..askari hawakutakiwa wamtoe namna ile kama mnyama au mzoga.
Bora utumbukizwe kwenye mdomo wa mamba au fisi wenye njaa maumivu yanakua kidogo na mara moja sio kwa kukosa hewa.Mtu hapo anakufa kwa mateso makali sana. Ni bora upigwe shaba moja ya kichwa ila sio hicho kifo kikali kilicho jaaa maumivu makali yenye mateso
Hapana mi mpole sanaa na Nina respectIla una dharau jamani🙄
Angalia videoHuyo jamaa kafanya kosa.
Hapo kuwalaumu askari siyo sahihi.
Ulitaka wambebeje? Mgongoni?Sija
Angalia video
Kafanya nn kwani?
Ilikuwa lzm wambebe hivyo lumtoa nje?
Walitakiwa wamtoeje? Wampe chocolate?..askari hawakutakiwa wamtoe namna ile kama mnyama au mzoga.