Mwananchi abebwa msobemsobe mahakama kuu Dar akidaiwa kupiga kelele wakati kesi ya Lissu ikisubiriwa kuanza

Huyo yesu anayemwita ndio nani?
Mbona hajamsaidia wakati amebebwa kama furushi la takataka...
 
Watu wana hasira sana.
Kunradhi mkuu 'Imho', ni swali tu.

Hivi mkuu 'Erythrocyte' yupo wapi, asije akawa ametekwa, maana enzi hizi ni za hatari sana.

Nimjuavyo, wakati huu asingekuwa amenyamaza kiasi hiki.

Lakini hata kama ni kutekwa, pasiwepo na mtu angalao mmoja kujuwa na kutoa taarifa?
 
Hakuna binaadam yeyote anayestahili adhabu ya namna hii. Anayefanya uovu wa aina hii ni sawa kabisa na kujifanyia yeye mwenyewe.
Ubinaadam wake umegeuka kuwa hafifu hata kumzidi mnyama.

Mtu anayeshiriki haya, anawezaje kuwa na uhai/maisha; yeye ni sawa na mfu tu!
 
Kunradhi mkuu 'Imho', ni swali tu.

Hivi mkuu 'Erythrocyte' yupo wapi, asije akawa ametekwa, maana enzi hizi ni za hatari sana.

Nimjuavyo, wakati huu asingekuwa amenyamaza kiasi hiki.

Lakini hata kama ni kutekwa, pasiwepo na mtu angalao mmoja kujuwa na kutoa taarifa?
Afadhali wewe umemkumbuka Erythro alikuwa mtetezi mkubwa wa upinzani humu jf 👉hueda👈 saa hizi makachero wanacheze korodani zake kwa plaiz na hakuna hata mwanaCHADEMA anayejali zaidi ya mkewe na familia yake.
 
Sasa angalia aina ya jibu ulilotoa hapa mkuu 'imhotep'; nikisema wewe ni mtu hatari sana unasema kweli kuwa ninakuonea?
Unawezaje kujifanya kondoo, wakati ni fisi aliye na njaa kali?
Nilikuuliza swali hilo maksudi kabisa, na jibu limtoa nilichotegemea!
 
Ninaongelea tabia halisi za wabongo unaweza kuwatetea siku ukipotea hakuna atakaekuwa na habari na wewe.
 
Kwa hiyo sasa tufanyeje? Sote twende tukajisalimishe kwa Samia na Genge lake, au siyo?

Kama hujui tabia iliyo mbovu zaidi ni kama hiyo unayo ionyesha sasa hivi
 
Siku hawa Wananchi wakiamua kuamka hakuna cha polisi wala nini lakini so far wako bize na mambo ya kipuuzi kula tunda kimasihara ni moja wapo betting Yanga/Simba na kuongelea zaidi starehe na miziki.
 
Sasa unasubiri waje wakuambie wapo tayari? Au unajuwa siku watakayokuwa tayari na siyo sasa!
 
Mimi kazi yangu huwa inanitembeza mikoa mbali mbali ya mainland Bongo country sioni utayari wowote labda kwa walio mitandaoni.
 
Hii kazi ya u-consultant wa mchongo kama hii inawafaa watu waliopungukiwa vichwani kama hawa waliopo madarakani wakati huu.
Ni wapi uliposikia watu wote ndani ya nchi huleta mabadiliko mahali popote duniani?
 
Kwenye nchi hii hata akitokea Castro na Che Guevara wa kibongo atashindwa kufanikiwa sana atachomwa fasta.
 
Baki hivyo hivyo; waache wanaoipigania nchi yao watakamilisha tu hiyo kazi.
 
Back
Top Bottom