Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Wazo jema.Serikali ifike mahali ijitathimini, huu sio ubinamu. Wabuni tu hata tozo mpya ili kufidia msamaha wa gharama kama hizi.
Hiyo pesa imejumuishwa kwenye bajeti ya pato la serikali 2024/2025, tukifa wengi serikali yetu itapata pato kubwa, tuoneshe uzalendo.Nisiseme mengi. Mimi nimeleta humu Ili kuibua mjadala wa sera ya afya ya CCM na makandokando yake ktk sekta na huduma za kiafya hapa nchini.
Haya chiniππ ndio maelezo ya ushuhuda wake aliotuma kwa wanagrupu wenzake kule WhatsApp ili wamsaidie kumchangia pesa aweze kugomboa maiti wake Ili akazike. Nimekopi na kupesti kama yalivyo. Nimeondoa majina yake na ya maiti wake.
"Ufafanuzi na utambulisho wa BABA Mfiwa".
"..Tunasikitika kiwataarifu kuwa tumepata msiba wa mtoto, amefia Muhimbili ICU baada ya kukaa toka 11th May 2024 na kufa 11th June 2024 jioni.
Ni Binti wa....... (ni kijana wa Kaka yetu......... kijana wa Mama mdogo wa...........)
Alikuwa ndiye anamtunza sana Mzee pale Kong'ongo hadi Mzee alipofariki), anaishi hapo hapo na MSIBA UKO HAPO HAPO inawezekana maziko yakawa Leo tarehe 13 saa 10 jioni kama tukifanikiwa kupewa maiti Muhimbili.
Kikwazo ni Bill ambayo million 10,695,000/=. Wametupunguzia 2,000,000/= Muhimbili hospitali.
Deni tunalodaiwa ni TZS 8,695,000/= Ili turuhusiwe kuitoa maiti mochwari. Tumelia sana lakini Wanataka tutafute 3,000,000/= kama advance kwa sasa ili watupatie mwili kwenda kuzika.
Wametuambia pia tuache kadi ya NIDA ya baba wa mtoto (marehemu). Balance itakayobaji tumeambiwa tutalipa polepole.
Ahsanteni sana."
Why is this?
Hilo halimo kwenye bima ya afya, hilo si tiba. Hapo wanaodaiwa ni ndugu si marehemu.Bima ya afya ni muhimu wana
Tukate bima za afya
Noma sana, kumbe yalikuwa makubaliano sasa kwa nn RC anashikiliwa?Hela yenyewe inapatikana basi. Hali tete mno.
Ndiyo maana Tumsime kaamua kugawa tigo kisha akapata 65M. Nasikitika kwann sponsor Nawanda anakamatwa, huyu angeachwa ili akomboe wadada wengi.
Hii nayo ni hbr au chuki kwa serikali ndiyo inakusumbua. Hiyo ni bill ya matibabu, cha ajabu ni nini we bwege?Nisiseme mengi. Mimi nimeleta humu Ili kuibua mjadala wa sera ya afya ya CCM na makandokando yake ktk sekta na huduma za kiafya hapa nchini.
Haya chiniππ ndio maelezo ya ushuhuda wake aliotuma kwa wanagrupu wenzake kule WhatsApp ili wamsaidie kumchangia pesa aweze kugomboa maiti wake Ili akazike. Nimekopi na kupesti kama yalivyo. Nimeondoa majina yake na ya maiti wake.
"Ufafanuzi na utambulisho wa BABA Mfiwa".
"..Tunasikitika kiwataarifu kuwa tumepata msiba wa mtoto, amefia Muhimbili ICU baada ya kukaa toka 11th May 2024 na kufa 11th June 2024 jioni.
Ni Binti wa....... (ni kijana wa Kaka yetu......... kijana wa Mama mdogo wa...........)
Alikuwa ndiye anamtunza sana Mzee pale Kong'ongo hadi Mzee alipofariki), anaishi hapo hapo na MSIBA UKO HAPO HAPO inawezekana maziko yakawa Leo tarehe 13 saa 10 jioni kama tukifanikiwa kupewa maiti Muhimbili.
Kikwazo ni Bill ambayo million 10,695,000/=. Wametupunguzia 2,000,000/= Muhimbili hospitali.
Deni tunalodaiwa ni TZS 8,695,000/= Ili turuhusiwe kuitoa maiti mochwari. Tumelia sana lakini Wanataka tutafute 3,000,000/= kama advance kwa sasa ili watupatie mwili kwenda kuzika.
Wametuambia pia tuache kadi ya NIDA ya baba wa mtoto (marehemu). Balance itakayobaji tumeambiwa tutalipa polepole.
Ahsanteni sana."
Why is this?
Tuliza makalio ueleweSera ya Bima ya Afya ilikuwa mbovu toka ilipoanzishwa, Kwa sababu sio endelevu na haikufanyiwa tathimini na wataalamu zaidi ya wanasiasa, kuweka Sera ambazo haziendani na uhalisia , upigaji, ubinafsishaji wa watoa huduma, ukopeshaji Kwa watoa huduma wa vifaa na majengo, wakati NHIF haina mamlaka juu ya hao watoa huduma .
Mimi nasemaga hata wautupe mzoga wangu porini au wauache nizikwe na greda la halmashauri ni sawa tu. Sitakuwepo. Sitasikia maumivu yo yote. Shida hizi zingine ni mbwembwe za binadamu tu.Hata kama n mm ndio nimekufa nisingependa ndugu zangu watoe hiyo pesa ili kuuchukua mwili wangu π
Ni hii serikali kupitia SSH ilihaidi timu ya taifa stars kitita cha mil100! Ikiifunga Zambia (chipolopolo). Sasa inashindwaje kulipa hiyo bill?Suala la kukomboa maiti mahospitalini serikali ifikirie mara mbili! Serikali i-subsidize kutunza watanzania wenzetu waliotangulia mbele za haki. Inatia uchungu sana.
Hakuna aliyebisha hoja ni amount elekezi kukomboa huo mwili...8 au 7 mil kwa mtu aliyetoka kuuguza tena mtanzania mwenye hali duni kiuchumi sio mchezo ujue, shauri ako mangii.Watanzania muwe waelewa hiyo ni bill ya matibabu kwa mwezi mzima aliohudumiwa hapo hospital sio hela kutoa maiti mortuary.
Unahitaji elimu ya bureBima gani!,Bima inayoweza kusaidia gharama za matibabu ni ile ya waajiriwa lakini ikiwa wewe sio muajiriwa inakubidi ukate zile wanaita za vifurushi ambazo ni utapeli mtupu kwa sababu zenyewe zina gharamia huduma chache za gharama za chini kama kumuona daktari,vipimo vidogo vidogo vya maabara,dawa kama panadol,antibiotics zile wanaita 1st line,x-ray na ultrasound lakini vipimo kama CT scan ni mara moja kwa mwaka na unatakiwa uchangie cash kwa asilimia fulani,MRI utajijua mwenyewe yaani kwa ujumla msaada wake ni kidogo sana.
Msisikilize wanasiasa ni waongo sana.
πββοΈβοΈππππππ€πππ‘οΈSuala la kukomboa maiti mahospitalini serikali ifikirie mara mbili! Serikali i-subsidize kutunza watanzania wenzetu waliotangulia mbele za haki. Inatia uchungu sana.
ππππ€πLakini mh. Dorothy Gwajima si yupo hapa? Anaweza kulitolea ufafanuzi. Hii sio sawa.
Mpumbavu wewe, mama yako, baba yako, bibi zako, babu zako, kichwa chako, diagnosis zako zote, treatments zote ulizopata, Kama una vitoto navyo vipumbavuβ¦. Pumbavu hadi vyombo ubagyotumia kula na kila kitu kinachokuhusu.. hata hiyo mishipa uliyobana ni pumbavuMpumbavu wewe,mimi nimehudhuria kliniki kadhaa pale Muhimbili ikiwemo ya Gastrointestinal na ya Macho vipimo na matibabu mengi zaidi ya 80% unaambiwa havilipiwi na hiyo bima yako ya vifurushi na kwa bahati mbaya sana ikitokea hivyo utatozwa kama mgonjwa wa private,mfano kuna kipimo kimoja cha macho bima(hiyo ya vifurushi) hailipii sasa utatakiwa ulipie cash unatozwa TSh 100,000 (private category) lakini kipimo hikohiko mgonjwa ambaye hana bima kabisa yeye anatozwa kwa category ya public atalipia 60,000,sasa hapo hiyo bima imekusaidia nini!
Nimefanya OGD 137,000 na nimebana mishipa kwenye koo kwa mara moja ni zaidi 400,000 zote hizo nimelipia cash.
KamaUnafirwa wewe,unaongea vitu ambavyo huvijui unafikiri umekalia mboo hapa.