Mwananchi aliyefiwa mtoto wake Muhimbili adaiwa kutakiwa kulipia Tsh. 10,695,000 ili kuikomboa maiti

Mwananchi aliyefiwa mtoto wake Muhimbili adaiwa kutakiwa kulipia Tsh. 10,695,000 ili kuikomboa maiti

Hela yenyewe inapatikana basi. Hali tete mno.

Ndiyo maana Tumsime kaamua kugawa tigo kisha akapata 65M. Nasikitika kwann sponsor Nawanda anakamatwa, huyu angeachwa ili akomboe wadada wengi.
Aseehhh😃😃😃😃
 
Nisiseme mengi, mimi nimeleta humu Ili kuibua mjadala wa Sera ya Afya ya CCM na makandokando yake katika sekta na huduma za kiafya hapa nchini.

Hayo chini ndio maelezo ya ushuhuda wake aliyotuma kwa wanagrupu wenzake kule WhatsApp ili wamsaidie kumchangia pesa aweze kugomboa maiti wake ili akazike. Nimekopi na kupesti kama yalivyo. Nimeondoa majina yake na ya maiti wake.

Ufafanuzi na utambulisho wa BABA Mfiwa

"..Tunasikitika kuwataarifu kuwa tumepata msiba wa mtoto, amefia Muhimbili ICU baada ya kukaa toka 11th May, 2024 na kufa 11th June, 2024 jioni.

"Ni binti wa....... (ni kijana wa kaka yetu......... kijana wa mama mdogo wa...........).

"Alikuwa ndiye anamtunza sana Mzee pale Kong'ongo hadi Mzee alipofariki, anaishi hapo hapo na MSIBA UKO HAPO HAPO. Inawezekana maziko yakawa leo tarehe 13 saa 10 jioni kama tukifanikiwa kupewa maiti Muhimbili.

Kikwazo ni Bill ambayo million 10,695,000/=. Wametupunguzia 2,000,000/= Muhimbili hospitali.

Deni tunalodaiwa ni Tsh. 8,695,000/= Ili turuhusiwe kuitoa maiti mochwari. Tumelia sana lakini wanataka tutafute 3,000,000/= kama advance kwa sasa ili watupatie mwili kwenda kuzika.

Wametuambia pia tuache kadi ya NIDA ya baba wa mtoto (marehemu). Balance itakayobaki tumeambiwa tutalipa polepole.

Ahsanteni sana."

Why is this?
Nadhani anachodaiwa sio gharama za 'kukomboa maiti' kama unavyodai ila ni gharama za matibabu alizopata akiwa anatibiwa. Kama unaona hastahili kudaiwa basi ata wagonjwa wanaokuwa wamelipa gharama za matibabu na ikatokea wakafariki basi nao ungependekeza wawe wanarudishiwa pesa wanazolipa. Binafsi naona Muhimbili wamejali uhai kwanza na ndio maana waliendelea kutoa huduma bila kujali deni limefikia kiasi gani. Kama ni kweli wahusika hawana uwezo wa kulipa kuna utaratibu mzuri tu wa kufuata ili jambo lao lifanyiwe kazi]
 
Sijadili na msenge katafute bwana wa kukufira saa hizi usiniletee nuksi bure,mkundu wewe.
Hapo ndio akili yako imegota

Ni malezi tu mabaya

Can’t blame you

It’s a reflection of your parents
 
Nisiseme mengi, mimi nimeleta humu Ili kuibua mjadala wa Sera ya Afya ya CCM na makandokando yake katika sekta na huduma za kiafya hapa nchini.

Hayo chini ndio maelezo ya ushuhuda wake aliyotuma kwa wanagrupu wenzake kule WhatsApp ili wamsaidie kumchangia pesa aweze kugomboa maiti wake ili akazike. Nimekopi na kupesti kama yalivyo. Nimeondoa majina yake na ya maiti wake.

Ufafanuzi na utambulisho wa BABA Mfiwa

"..Tunasikitika kuwataarifu kuwa tumepata msiba wa mtoto, amefia Muhimbili ICU baada ya kukaa toka 11th May, 2024 na kufa 11th June, 2024 jioni.

"Ni binti wa....... (ni kijana wa kaka yetu......... kijana wa mama mdogo wa...........).

"Alikuwa ndiye anamtunza sana Mzee pale Kong'ongo hadi Mzee alipofariki, anaishi hapo hapo na MSIBA UKO HAPO HAPO. Inawezekana maziko yakawa leo tarehe 13 saa 10 jioni kama tukifanikiwa kupewa maiti Muhimbili.

Kikwazo ni Bill ambayo million 10,695,000/=. Wametupunguzia 2,000,000/= Muhimbili hospitali.

Deni tunalodaiwa ni Tsh. 8,695,000/= Ili turuhusiwe kuitoa maiti mochwari. Tumelia sana lakini wanataka tutafute 3,000,000/= kama advance kwa sasa ili watupatie mwili kwenda kuzika.

Wametuambia pia tuache kadi ya NIDA ya baba wa mtoto (marehemu). Balance itakayobaki tumeambiwa tutalipa polepole.

Ahsanteni sana."

Why is this?
Serikali Kupitia Wizara ya Afya imepiga marufuku hili jambo japo inaonekana ni Lugha ya Kisiasa ila kwenye kanuni Bado linasimama kama chanzo Cha Fedha Kwa hospital hizo kama Muongozo wa Wizara unavyosema.
 
Ukiwa na mgonjwa akapelekwa ICU hata Hospital za Rufaa za mikoa hesabu maumivu Tena makubwa kweli halafu itokee kafariki akapelekwa kwenye jengo la kuhifadhi maiti hesabu maumivu mingine maana hiyo pesa utakaypdaiwa ukijumlisha na dawa ulizonunua ingekuwa NI la kujulikana anakufa Bora angebaki nyumbani., Najiuliza awamu ya Kwanza iliwezaje kutoa huduma bure kwa watu wake? Sawa tulikuwa waxhache lakini hatukuwa na miradi yoyote mikubwa ya kuingiza pesa Kama ilivyo Sasa.,
 
Juzi kati nimepigiwa simu na binti analia baba yake kazidiwa anapelekwa ICU hospital fulani ila "ninewaambia wamuweke mapumziko kesho nimtoe" na kweli kesho yake akaja na gari kalipa Kama laki hivi karudisha mgonjwa nyumbani, hajambo wiki ya pili sasa. Mgonjwa kulazwa wodi ya kawaida au ICU hospital zingine hata za private ni Kama mradi,
 
Point yako ni ipi?
Umesoma thread hadi mwisho? Umeelewa?

Tunajadili sera ya afya na huduma za afya ya serikali ya CCM kwa kutumia scenario ya ndugu huyu na maiti yake kuzuiliwa.

Umeipata point yangu? Umeelewa sasa?

Haya twende kazi. Leta hoja yako wajumbe wakusome
 
Hela yenyewe inapatikana basi. Hali tete mno.

Ndiyo maana Tumsime kaamua kugawa tigo kisha akapata 65M. Nasikitika kwann sponsor Nawanda anakamatwa, huyu angeachwa ili akomboe wadada wengi.
😁😁😁 unaota ndoto gan ww?
 
Watanzania muwe waelewa hiyo ni bill ya matibabu kwa mwezi mzima aliohudumiwa hapo hospital sio hela kutoa maiti mortuary.
Kama wameshindwa kumtibu kuokoa uhai wake na keshafariki, bill yote hiyo ya nini tena?

Si itakuwa mchezo huu? Hospitali ziko kwa ajili ya kuokoa uhai wa watu na si kufanya biashara ya uhai wa watu hao!

Bro Tshs 10,695,000 huku mtu akiwa ameshakufa? Really?

How come serikali iipe familia hii maumivu mara mbili??;
1. Wapoteze uhai wa mtoto wao
2. Uwafilisi kwa kuuza kila kitu Ili kulipia maiti??

Hebu fikiri tena vizuri
 
Mpumbavu wewe, mama yako, baba yako, bibi zako, babu zako, kichwa chako, diagnosis zako zote, treatments zote ulizopata, Kama una vitoto navyo vipumbavu…. Pumbavu hadi vyombo ubagyotumia kula na kila kitu kinachokuhusu.. hata hiyo mishipa uliyobana ni pumbavu

Kuna packages mbalimbali za bima inategemea ndugu zako wanakuchangia kiasi gani

Na Kama hutaki nhif kuna nyingine za strategis, alliances etc

Mara bima Acha upumbavu

Hutaki bima funga nyoro

Nalaaabuk wahed
Lakini ndugu TIMING umeanza kumrushia mwenzako matusi mazito na mabaya kabisa👆👆👆 Naye kakujibu kwa matusi mazito zaidi.

Uzuri ni kuwa, umegundua kuwa kujadiliana kwa kutukanana ni kuumizana bila sababu

Asante kwa kujirudi mwenyewe👇👇. Next time ukiona mtu hana hoja na badala yake anatumia lugha ya matusi kujadiliana, achana naye, nyamaza kimya!
Kama
Ni kopo la matusi hao ndio home

Ukishamaliza kugawa rudi tujadili…

Sio unaropoka wakati huna ujualo zaidi ya ulalamishi

I pity everything you touch

Lunatic
 
Lakini ndugu TIMING umeanza kumrushia mwenzako matusi mazito na mabaya kabisa👆👆👆 Naye kakujibu kwa matusi mazito zaidi.

Uzuri ni kuwa, umegundua kuwa kujadiliana kwa kutukanana ni kuumizana bila sababu

Asante kwa kujirudi mwenyewe👇👇. Next time ukiona mtu hana hoja na badala yake anatumia lugha ya matusi kujadiliana, achana naye, nyamaza kimya!
Hapana

Nilikua najibu

Fuatilia matusi yalianzia wapi
 
Nadhani anachodaiwa sio gharama za 'kukomboa maiti' kama unavyodai ila ni gharama za matibabu alizopata akiwa anatibiwa. Kama unaona hastahili kudaiwa basi ata wagonjwa wanaokuwa wamelipa gharama za matibabu na ikatokea wakafariki basi nao ungependekeza wawe wanarudishiwa pesa wanazolipa. Binafsi naona Muhimbili wamejali uhai kwanza na ndio maana waliendelea kutoa huduma bila kujali deni limefikia kiasi gani. Kama ni kweli wahusika hawana uwezo wa kulipa kuna utaratibu mzuri tu wa kufuata ili jambo lao lifanyiwe kazi]
Probably, YES.

Lakini wameshindwa kuokoa uhai wa mtoto huyu, amefariki na kazi ya hospitali/madaktari ni kuokoa uhai.

Ktk scenario hii, wanapata wapi uhalali wa kudai bill ya matibabu? Wametibu nini?

Hapa kwa kuwa uhai hayupo na badala yake ipo mati, there's no way utasema hii ni bill ya matibabu. Usahihi ni kuwa, hii ni bill ya kugomboa maiti!
 
Nasubiri hoja tupate kutanua wigo wa kuelewa sera hiyo na maboresho yake
Yes.
Nashukuru kuwa Active na Jamiiforum.com management kwa ujumla wameomba details kwa uhalisia wake za waathirika na nimewatumia kama ilivyo mpaka location ya familia hiyo ilipo.

Bila shaka watawasiliana na mamlaka husika akiwemo waziri wa afya Ili kuona namna ya kuisaidia familia hii na hasa kuona njia ya kurekebisha sera hii ya afya ktk eneo hili
 
Probably, YES.

Lakini wameshindwa kuokoa uhai wa mtoto huyu, amefariki na kazi ya hospitali/madaktari ni kuokoa uhai.

Ktk scenario hii, wanapata wapi uhalali wa kudai bill ya matibabu? Wametibu nini?

Hapa kwa kuwa uhai hayupo na badala yake ipo mati, there's no way utasema hii ni bill ya matibabu. Usahihi ni kuwa, hii ni bill ya kugomboa maiti!
Kama makubaliano kati yake na hospital yalikuwa ni kama hivyo unavyosema, mimi ni nani nibishe wakati sikuwepo!
 
Kama makubaliano kati yake na hospital yalikuwa ni kama hivyo unavyosema, mimi ni nani nibishe wakati sikuwepo!
Hapo kuna makubaliano kwani ndugu?

Walichopewa ni bill ya maiti na siyo matibabu

Kwa maoni yangu, nafikiri, ni lazima kuwe na utaratibu wa kufuta gharama yoyote ya matibabu iwapo mgonjwa atafia hospitalini..

Hawa wapewe bill ya kutunza maiti tu kule mochwari kwa siku mbili au tatu ambayo Nina hakika haizidi 300,000.

Lakini serikali kumwomba mwananchi wa kawaida kama huyu mamilioni yote hayo kwa mtu aliyekwishafariki kwa wao kushindwa kuokoa uhai wake, mimi naona sio sahihi!!
 
Back
Top Bottom