Mwananchi: Kwenye daftari la mazishi ya vifo vya COVID19 Jina la babangu lilikuwa namba 256 (Amana Hospital-Ilala)

jitahidi uninukuu mimi,wacha uoga kujibu maswali.

hiyo nyuki na maji ya moto hujaelewa kama ni mfano??halafu kwa akili hizo unataka uhoji usahihi wa taarifa za wafu 256 wilaya ya ilala!!!

tuna taifa lenye watu wenye uwezo wa kufuga vitambi tu.
Nani 'mkorinto' nimekusoma na kuona kuwa hunitishi kitu.
Haya tuanzie wapi?
 
Watahangaika na Tanzania lkn hatutatikisika hata nukta
Polepole, nchi ilishapuktishwa na Sasa mizizi inabunguliwa na mchwa! Sijui gogo litakalosalia mtalifanyia nini kwani Lina mwanzi ndani!
Ccm mmeshindwa kuongoza nchi irudisheni kwa wananchi!
 
Watunge kwa faida ya nani? You know nothing about media propaganda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie roho zenu mbaya sana yote haya ni kwa ajili ya matumbo yenu. Mtakuta wote mnatokea kanda ile ya chattle. Acheni ukweli ujulikane.
Chief nisome tena, hakuna emotion yoyote niliyoonesha kushabikia upande wowote! Usinihusishe na chattle labda iwe ndio kwenu[emoji848][emoji848][emoji848]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Asante Aljazeera... Vifo Ni zaidi ya 256 vya Corona hapa Tz...

Nasubiri Ummy akanushe hii habari
Hicho kitabu ni cha Amana peke yake au Dar yote? Haiwezekani kiwe kinazungushwa kote, may be cha kanda fulani.
 
aiseee! kinachonishangaza ni kwamba kwani huu ugonjwa umegundulika tanzania? sioni faida za kutosema wagonjwa na waliofariki kwa co-19 kufanya ni siri sana!! ni aibu sana kwa taifa letu tena sana
.... huu ugonjwa ndiyo umetufunulia juu ya rais tuliyenaye.... ni wa ajabu sana tena ni wa ajabu mno!! sadcc hajaudhuria
..EAC nako hajaudhuria..... watz tuna bonge la kituko..
 
Nimesoma hii kitu nikaogopa.. kama.ilala tui 256 , nchi nzima.si itakua balaa. Tujilinde hali si shwari.. jo one cares if you die or you stay alive.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi kinachoniogopesha ni jinsi ambavyo raia huko mitaani hawavai barakoa. Nilifurahi sana RC Makonda aliposema lazima kila mtu avae barakoa Dar, kinachonishangaza ni ukimya na hakuna tena mkazo wa kuvaa barakoa.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
An exaggeration....sensational reporting...
 
Ila jamn tutangaze tu idadi ya wagonjwa wapya na waluokufa km wapo na naamini wapo coz watu washachukulia poa sn mtaan people they don't care n vurugu mechi unaweza hisi hili jambo halipo ndani ya nchi yetu. Raisi anasema tusiwatie hofu watu yupo sahh lkn nachojua mm watu ambao hawajapa maambukizi haya lazma watiwe hofu ila wanaopata maambukizi haya ndio wapewe matumaini ili wasiwe na hofu. Hata ukimwi kila siku tunapeana hofu sn ukipata HIV ni hatari ila mtu akishaupata kiswahili kinabadilika kuwa na HIV sio mwisho wa maisha.. na mbwembwe nyingi tu. Plz wenye mamlaka waambieni watanzania ukweli itawaweka huru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…