Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 12,445
- 27,920
(Kweri kweri ) ndo nini wewe..hata kuandika hamjui shenz kabsaWewe ni muongo! Tena muongo kweri kweri!
sijui itakuaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
(Kweri kweri ) ndo nini wewe..hata kuandika hamjui shenz kabsaWewe ni muongo! Tena muongo kweri kweri!
Hata wewe kama utaamini alichoandika huyo jamaa utakuwa nyumbu kweri kweri!(Kweri kweri ) ndo nini wewe..hata kuandika hamjui shenz kabsa
sijui itakuaje
Sema wewe hoja yako usikike ?think loud,kwanini ufikiri hapa unadanganywa,umejiuliza the same kwa tz???
Nani 'mkorinto' nimekusoma na kuona kuwa hunitishi kitu.jitahidi uninukuu mimi,wacha uoga kujibu maswali.
hiyo nyuki na maji ya moto hujaelewa kama ni mfano??halafu kwa akili hizo unataka uhoji usahihi wa taarifa za wafu 256 wilaya ya ilala!!!
tuna taifa lenye watu wenye uwezo wa kufuga vitambi tu.
Polepole, nchi ilishapuktishwa na Sasa mizizi inabunguliwa na mchwa! Sijui gogo litakalosalia mtalifanyia nini kwani Lina mwanzi ndani!Watahangaika na Tanzania lkn hatutatikisika hata nukta
Watunge kwa faida ya nani? You know nothing about media propaganda.Yani ukiangalia comments za Watanzania huko fb kwenye bbc swahili au kwenye media zingine hata hapa kwneye hii thread.
You will realize that many are stupid.
Yani wanavishambulia vyombo vya habari kuwa vinatumika.
Its nonsense.
Sasa hicho kitabu mazishi ya covid 19 aljazeer watunge kwa faida ya nani hasa.
Kiufupi Tanzania inaficha data and it will cost us all
Wewe ni muongo! Tena muongo kweri kweri!
Chief nisome tena, hakuna emotion yoyote niliyoonesha kushabikia upande wowote! Usinihusishe na chattle labda iwe ndio kwenu[emoji848][emoji848][emoji848]Nyie roho zenu mbaya sana yote haya ni kwa ajili ya matumbo yenu. Mtakuta wote mnatokea kanda ile ya chattle. Acheni ukweli ujulikane.
Hicho kitabu ni cha Amana peke yake au Dar yote? Haiwezekani kiwe kinazungushwa kote, may be cha kanda fulani.Asante Aljazeera... Vifo Ni zaidi ya 256 vya Corona hapa Tz...
Nasubiri Ummy akanushe hii habari
Mimi kinachoniogopesha ni jinsi ambavyo raia huko mitaani hawavai barakoa. Nilifurahi sana RC Makonda aliposema lazima kila mtu avae barakoa Dar, kinachonishangaza ni ukimya na hakuna tena mkazo wa kuvaa barakoa.Nimesoma hii kitu nikaogopa.. kama.ilala tui 256 , nchi nzima.si itakua balaa. Tujilinde hali si shwari.. jo one cares if you die or you stay alive.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ishia hapo hapo .........Tatizo lilivyo hata huku mitandaoni hakuna mashuhuda wa waliyofiwa na ndugu zao au hata majirani kwa vifo vinavyojulikana kabisa ni vya corona ili kuja kutoa ushuhuda ili tupate picha halisi kinachoendelea kuhusu corona.
An exaggeration....sensational reporting...Aljazeera ni chombo cha habari chenye credibility kubwa duniani na sio rahisi kuandika udaku.
Kumbe vifo kulingana na kumbukumbu za hospitali zetu kwa Covid19 namba ni kubwa mno kuliko tunavyo ambiwa.
Kama tu Munispal ya Ilala tarehe 30 April namba ilikuwa inasoma 256 je hadi Leo itakuwaje? Haya hivyo ni Ilala pekee, huko Mloganzila, Temeke, Mwanza,Arusha nk itakuwaje?
Halafu bado wananchi wanaambiwa hali sio mbaya waliofariki ni 16 tu, tunamdanganya nani? Usiri huu unafanya watu wasiogope na kuona ni ugonjwa wa kawaida.
Kwanini serikali inatutenda hivi wananchi? na kama habari sio sahihi kwa nini serikali isiwabane Aljazeera kuusema ukweli?
View attachment 1448120View attachment 1448121View attachment 1448122
Sent using Jamii Forums mobile app