Mwananchi: Kwenye daftari la mazishi ya vifo vya COVID19 Jina la babangu lilikuwa namba 256 (Amana Hospital-Ilala)

CHADEMA YAZIDI KUPASUKA PASUKA.
-BAVICHA wahaha kudandia matukio ya kupooza machungu.
-Wananchi wasema chadema imejizika yenyewe.
 
Tafuta connection ..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi pia huwa nasapoti serikali itoe takwimu..,ila hiyo idadi ya vifo kwa hicho kipindi hadi kufikia sasa ingekuwa haina haja ya connection kabisa sababu impact yake huku kitaa tungeiona wazi kabisa... Halafu why zile video zilikuwa zinaonekana mwanzo halafu sahivi iwe mpaka connection!!! Haya mnayoyafanya ili kuikomoa serikali hapana,it isn't fair.
 
Unaishi pori gani mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mitaa gani hiyo boss?
 
Hili ni jambo asiloweza kamwe kulielewa huyo unayemjibu.
Hebu angalia alivyotiririka toka huko juu hadi kwenye mchango wake huo uliompa ukweli ambao hawezi kuuelewa!

Analeta hadithi za nyuki na sufuria za maji moto, wakati anajifanya hajui ulipoanzia ugonjwa wamefanya nini.
 
Usimchukulia poa KGG mkuu anatoa issue ambazo ni ngumu kuzipata!! Na yupo Ahead ya taarifa,issue hata ikitokea saa nane usiku yeye ashaipata na kuipost na wahusika wanakuja kuitoa baada ya siku 1 au mbili kupita.
kigogo hajabezwa,ila tunapima uwezo wake.

kama anashindwa jambo dogo hivi,hayo mengine anayatoaga wapi???
 
Dah! Ngoja sisi tuendelee kumsifia mkuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…