Maboso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 5,164
- 5,762
๐ ๐ ๐ ๐ ๐wanakwambia ununio ambulance hazikauki,na wazikaji haealali[emoji23][emoji23][emoji23],ufipa mnakoelekea mnapajua wenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐ ๐ ๐ ๐ ๐wanakwambia ununio ambulance hazikauki,na wazikaji haealali[emoji23][emoji23][emoji23],ufipa mnakoelekea mnapajua wenyewe.
Sijazungumzia kuhusu idadi kuwa ni sahihi au sio sahihi bali nimezungumzia utoaji wa taarifa. Wakati wenzetu wakitoa taarifa kila siku, huku kwetu kwanzia itolewe taarifa ni wiki ngapi zimepita? Je hakuna wagonjwa wapya na vifo vipya?wewe unajuaje kama ndio idadi kamili??
Mimi pia huwa nasapoti serikali itoe takwimu..,ila hiyo idadi ya vifo kwa hicho kipindi hadi kufikia sasa ingekuwa haina haja ya connection kabisa sababu impact yake huku kitaa tungeiona wazi kabisa... Halafu why zile video zilikuwa zinaonekana mwanzo halafu sahivi iwe mpaka connection!!! Haya mnayoyafanya ili kuikomoa serikali hapana,it isn't fair.
Hapo ChachaHapo sasa tutasikia:
"Kwa nini Al Jazeera hawa report vifo vya kwenye hiyo nchi iliko?" Ataendelea, "ndiyo maana nawaambia hivi ni vita vinaelekezwa kwetu!" Mwisho wa kumnukuu.
Hiiiii bagosha!
Mimi pia huwa nasapoti serikali itoe takwimu..,ila hiyo idadi ya vifo kwa hicho kipindi hadi kufikia sasa ingekuwa haina haja ya connection kabisa sababu impact yake huku kitaa tungeiona wazi kabisa... Halafu why zile video zilikuwa zinaonekana mwanzo halafu sahivi iwe mpaka connection!!! Haya mnayoyafanya ili kuikomoa serikali hapana,it isn't fair.
Mitaa gani hiyo boss?Watu wanamchukulia poa KGG kwa kutoa taarifa za watu waliokufa na KORONA ila takwimu alizozitoa jana ni kwamba mpaka sasa watu 1293 wameshakata moto kwa covid19 ,,DSM na Atown zinaongoza na nimeongea na jamaa yangu wa njiro anasema ni hatari kitaani kwao wamepukutika kwa corona.
Kuficha ndio kunazidi kutuangamiza maana watu wanachukulia poa,kinga ya mwili haingalii umri,watu wana magonjwa nyemelezi mengi tu,ukipata kovid na ikakukuta na kinga dhaifu/magonjw nyemelezi % kubwa lazima itambae na wewe!!
Nipo jiji kubwa tu Tz
Hili ni jambo asiloweza kamwe kulielewa huyo unayemjibu.Sijazungumzia kuhusu idadi kuwa ni sahihi au sio sahihi bali nimezungumzia utoaji wa taarifa. Wakati wenzetu wakitoa taarifa kila siku, huku kwetu kwanzia itolewe taarifa ni wiki ngapi zimepita? Je hakuna wagonjwa wapya na vifo vipya?
Sent using Jamii Forums mobile app
China kwenyewe wanaficha data, walio kufa ni zaidi ya million 2+Nchi nyingi za Africa wanaficha takwimu za covid 19, south Africa walithibitisha hilo Kwa kutangaza kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikisha fika mwisho wao sukari itashuka bei siyo?Nyie chadema endeleeni kulilia watu wafe
Ikibidi muwe mnashida makaburini kupiga picha
Ila mwisho wenu ni October,
Shit citizen like you..Shit country!
kigogo hajabezwa,ila tunapima uwezo wake.Usimchukulia poa KGG mkuu anatoa issue ambazo ni ngumu kuzipata!! Na yupo Ahead ya taarifa,issue hata ikitokea saa nane usiku yeye ashaipata na kuipost na wahusika wanakuja kuitoa baada ya siku 1 au mbili kupita.
Makaburini nadhanihivi hawa watu 250 wilaya moja wamezikwa wapi jamani!!!!