Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Katika mkutano huo uliofanyika tarehe 28 September 2026 katika Kijiji cha Mkwajuni, mwananchi huyo alisema Waziri Mkuu aliwahi kutamka wazi bungeni kuwa serikali itatungwa sheria ya kuwazuia wafugaji wasiingize mifugo yao kwenye mashamba ya wakulima. Alisisitiza kuwa wananchi wanasubiri utekelezaji wa kauli hiyo ya Waziri Mkuu.
Wananchi waliokuwa pale walimsikiliza Mbunge wao kwa makini huku wakiomba suala la ng’ombe lichukuliwe kwa uzito wa hali ya juu.