Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

HV kweli na wewe unazamini takwimu za kupigwa Samia Ana jema ipi yaani unawaamini wapika data na uko serious
 
Naungana na wewe kwa 100% wengi wa walio kwenye hii mitandao hawajui lolote kuhusu nyerere ,mwinyi wala mkapa zaid ya kuwasoma kwenye vitabu tuu kwa tulio kuwepo awamu hizo zote, ni sahihi kabisa B.W .Mkapa alifanya mageuzi makubwa sana ya kiuchumi kisekta tanzania
 
Nhif iko marikiti Ni samiaa ndio anaiuwa kwa kukoza maarifa
dio ukweli huo.nhif
 
Nilijua mapema na nilisema walio hai kushindanishwa na wafu haya mmemvua nguo mtu, waendelee kucheza na jina Mwendazake kwenye ajenda zao watadhalilika sana!
Si mlisema mitandaoni hakuna wapiga kura? Kipindi kile polls za mtandaoni wakisema Lissu is better than JPM mnasema wapiga kura hawana smartphones!! Ila hapa zikisema JPM basi zinaakisi uhalisia haaahaaa
 
Magufuli huwezi kumpiga kijinga kijinga mbele za watu ukabaki salama! Marais wote wameangukia pua mbele ya Magufuli! Samia mwenyewe licha ya makelele ya machawa bado kapigwa chini!
Cha ajabu alikua anaogopa mikutano ya hadhara ya wapinzani hadi akaengua wagombea wote upinzani!! The most coward president ever
 
Umewahi kufuatilia kodi na magawio ambayo TCC, TBL, CRDB na NMB wanalipa kwa mwaka kwenda TRA na Hazina?

Yote haya kabla ya Mkapa yalikuwa yanaendeshwa kwa kupewa ruzuku na Serikali
PSRC ili privatize 176 public firms hata hayo uliyonitajia hapo juu Umma unamiliki hisa ngapi? Ben mwenye kwenye kitabu alikiri utaratibu ulikuwa mbovu halafu wewe unatetea.
 
Si mlisema mitandaoni hakuna wapiga kura? Kipindi kile polls za mtandaoni wakisema Lissu is better than JPM mnasema wapiga kura hawana smartphones!! Ila hapa zikisema JPM basi zinaakisi uhalisia haaahaaa
Lete utafiti huo? Lisu hawezi kumzidi Magufuli kwa chochote!
Huyo Zitto unayemtumikia alojaa udini ndo maana unamuona kanyamaza licha ya masaibu ya watu kupotea na kufukuzwa kwenye makazi yao kama tunavyoshuhudia Ngorongoro!
 
Mbona kwenye polls ya mwananchi wanatamani uchumi wa JPM. Nyie wachache wenye 17% ndio hamtamani utawala wa JPM. Au kwa kuwa mnalipwa ili mtetee vitu vya uongo. Lakin kama watoto wanapata chakula haina shida, ni sawa tu kujizima data.
 
πŸ˜‚ Hata wasemeje

Tayari

Message sent and delivered

mmemvua nguo mtu

Marais wote wameangukia pua mbele ya Magufuli!

Hawana simu janja!

Ndo maana wanatangatanga


Kura zimeeleweka kabisa


ushindi mnono

waliopig kura ni watu wenye uwezo wa kufikiri vizuri na kutambua mambo kwa undani! Tulieni Machwa hii ni wenu!

hii weekend ni nzuri sana

wanaojitambua bado wamempigia kura Magufuli kwa wingi!

Na huo ndio UKWELI

πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚JPM

JPM hakuna wa kumshinda, ni grade A.

JPM kusahaulika

ni kazi sana

lazima aibuke na ushindi kiti cha uRais πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Takwimu hazion

Hata hapa JF, kuna uzi wa poll wa rais yupi unamkubali na JPM ndie aliyepata kura nyingi.
MTANIKUMBUKA
 
Kwahy gazeti la mwananchi limekuwa la hovyo baada ya kuweka hy poll ila kabla ya hapo lilikuwa lizuri.?

Kwa mimi niliyesoma research darasani na kufanya research practically ukiachilia dissertations 3 za kimasomo nimeshafanya researchs zaidi ya 10.
Nilichogundua hao mwananchi hawakutegemea majibu yaliyotoka ndio maana wakaamua kurefute.
Kama mwanaresearcher nimewaelewa hata sisi kuna researchs kadhΓ a tulishafanya hivyo na ilikuwa sababu ya funding .
Unakuta mfadhili anawapa kazi mfanye research kuhusu kitu flani wakiwa tayari wanamajibu waliyokuwa wanategemea muwape sasa mnaenda field mnapata majibu tofauti donors wanakataa hayo majibu ilikuwa inaleta mgogoro sana Kwenye kuandika report na ndio unakuta utafiti unaishia hapo.
Mimi binafsi niwape pole sana Mwananchi Kwenye research hayo mambo yapo respondents mara nyingine wanawalet down researchers ambao wanakuwa tayari wanamajibu yao kabla au ili kumeet donors expected results ndio maana mara nyingine ma researchers wana cook data
 
Gazeti la Kingereza la the Citizen anunue kilaza wa kijijini au mlala hoi kweli? Hao waliopiga kura ni wasomi na wanaojitambua bado wamempigia kura Magufuli kwa wingi! Mkijaribu kuja kwa wala mihogo mtatapa kura asilimia 2% aibu itakuwa kubwa zaidi!
Ni kura za mtandaoni, Mtandao wa Instagram....Mitandao tofauti italeta matokeo tofauti, mfano ukiitisha kura hapa JF au kule Twitter Magufuli hatakuwa wa kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…