Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 4,240
- 10,561
Upo sahihi mkuu, ila saa100, hana mvuto kabisa... Ni ndondokela tu.Hairuhusiwi kusimamisa wagombea wawili ndani ya chama kimoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi mkuu, ila saa100, hana mvuto kabisa... Ni ndondokela tu.Hairuhusiwi kusimamisa wagombea wawili ndani ya chama kimoja
HV kweli na wewe unazamini takwimu za kupigwa Samia Ana jema ipi yaani unawaamini wapika data na uko seriousTangu lini werevu wakawa wengi kuzidi wajinga? Na wajinga wakiamua lao si unajua matokea? Don't play with wajinga ,they don't use brain 😁😁
Nakujibu Kwa kutumia takwimu ndogo tuu,wakati Magufuli anaingia madarakani wastani wa Makusanyo TRA ilikuwa Bilioni 800 Kwa mwezi,Hadi anakufa 2021 wastani ulikuwa 1.5T..sawa na Bilioni 700 Kwa miaka 5.
Samia kutoka 1.5T Hadi 2.2T/M sawa na Bilioni 700 miaka 3.
Bajeti hii inayoendelea Sasa hivi TRA inatarajia kufikisha 2.5T Kwa mwezi na hapo hakuna mradi mkubwa hata mmja wa Magufuli umeanza Kuzalisha ,ni sera za kurudisha Imani Kwa wafanyabiashara zimelwta hela.
Huo ni ushahidi wa kwanza,nikutajie mengine? Tumia brain sio moyo kufanya judgement takwimu zinaongea ila mapenzi ni tofauti na takwimu.Kama unataka mapenzi peleka Kwa.Magu ila kama unataka takwimu Samia is here to stay
Magu mi5 tenaMagufuli huwezi kumpiga kijinga kijinga mbele za watu ukabaki salama! Marais wote wameangukia pua mbele ya Magufuli! Samia mwenyewe licha ya makelele ya machawa bado kapigwa chini!
Kitendo Cha kuuza bandati kwa kushindwa kusimamia nimemuona nimmwenda wazimuYaani ni Utitiri wa vitu sio kitu ,wewe labda uniambie nikutajie sekta ipi ,nikitoa orodha hapa ni ndefu sanaHadiado
Naungana na wewe kwa 100% wengi wa walio kwenye hii mitandao hawajui lolote kuhusu nyerere ,mwinyi wala mkapa zaid ya kuwasoma kwenye vitabu tuu kwa tulio kuwepo awamu hizo zote, ni sahihi kabisa B.W .Mkapa alifanya mageuzi makubwa sana ya kiuchumi kisekta tanzaniaWanaomjua Mkapa alifanya nini ni wenye umri wa 50 years and above ambao ni less than 20% ya population. Na kati ya hao wanaoingia kwenye mitandao ni less 40%.
Ungeniuliza mimi ningekuambia marais wote kuanzia Awamu ya 4 wanatembelea kwenye misingi ya BW Mkapa.
Kura kama hii huwezi kuifanyia statistical analysis kwa kuwa hujui demographic factors zake.
Nhif iko marikiti Ni samiaa ndio anaiuwa kwa kukoza maarifaNdio maana nakwambia kwani wewe ukisema Magufuli ndio better itaondoa ukweli kwamba kule Rukwa
-Samia amefungua Barabara Vijijini ambavyo vilikuwa havina mawasiliano?
-Kwani itaondoa ukweli kwamba Samia anajenga uwanja wa ndege wa Sumbawanga
-Kwani itaondoa ukweli kwamba Samia anajenga Barabara za mtaani za lami na taa Juu?
-Kwani itafuta ukweli kwamba Samia anajenga Barabara za lami kwenda Zambia na Bonde la Rukwa?
Yaani huo ni mfano mmja tuu ya yaliyofanyika Kwa miaka 3 hayakuwa kufanyika kipindi Cha Magufuli miaka yote 5.
Sasa ipo hivyo Mikoa yooote Tanzania hii.Narudia kukwambia kwamba Samia ni zaidi ya Magufuli ni upende au usipende n
dio ukweli huo.nhif
Si mlisema mitandaoni hakuna wapiga kura? Kipindi kile polls za mtandaoni wakisema Lissu is better than JPM mnasema wapiga kura hawana smartphones!! Ila hapa zikisema JPM basi zinaakisi uhalisia haaahaaaNilijua mapema na nilisema walio hai kushindanishwa na wafu haya mmemvua nguo mtu, waendelee kucheza na jina Mwendazake kwenye ajenda zao watadhalilika sana!
Message gani? Kwani JPM ni mgombea 2025? Yaani JPM akiwa better than Samia inaathiri nini 2025?😂 Hata wasemeje
Tayari
Message sent and delivered
Cha ajabu alikua anaogopa mikutano ya hadhara ya wapinzani hadi akaengua wagombea wote upinzani!! The most coward president everMagufuli huwezi kumpiga kijinga kijinga mbele za watu ukabaki salama! Marais wote wameangukia pua mbele ya Magufuli! Samia mwenyewe licha ya makelele ya machawa bado kapigwa chini!
PSRC ili privatize 176 public firms hata hayo uliyonitajia hapo juu Umma unamiliki hisa ngapi? Ben mwenye kwenye kitabu alikiri utaratibu ulikuwa mbovu halafu wewe unatetea.Umewahi kufuatilia kodi na magawio ambayo TCC, TBL, CRDB na NMB wanalipa kwa mwaka kwenda TRA na Hazina?
Yote haya kabla ya Mkapa yalikuwa yanaendeshwa kwa kupewa ruzuku na Serikali
Lete utafiti huo? Lisu hawezi kumzidi Magufuli kwa chochote!Si mlisema mitandaoni hakuna wapiga kura? Kipindi kile polls za mtandaoni wakisema Lissu is better than JPM mnasema wapiga kura hawana smartphones!! Ila hapa zikisema JPM basi zinaakisi uhalisia haaahaaa
Mbona kwenye polls ya mwananchi wanatamani uchumi wa JPM. Nyie wachache wenye 17% ndio hamtamani utawala wa JPM. Au kwa kuwa mnalipwa ili mtetee vitu vya uongo. Lakin kama watoto wanapata chakula haina shida, ni sawa tu kujizima data.Una akili kweli wewe? Awe kama JPM Ili walionacho wawe maskini na wale wachache walioko kwenye Utawala Waendelee kuneemeka? Mfano Makonda amekuwa bilionea awamu ya 5 na wengine wote waliokuwa wanatumikia Utawala.
Hakuna mtu mwenye akili timamu na mwenye pesa anaweza tamani Utawala ule labda maskini waliokata tamaa ambao kwao wenye pesa wakiporwa pesa na kuwa maskini ndio furaha Yao,wanasema tulingane.
😂 Hata wasemeje
Tayari
Message sent and delivered
mmemvua nguo mtu
Marais wote wameangukia pua mbele ya Magufuli!
Hawana simu janja!
Ndo maana wanatangatanga
Hahahaha
Kura zimeeleweka kabisa
Ni Aibu
ushindi mnono
waliopig kura ni watu wenye uwezo wa kufikiri vizuri na kutambua mambo kwa undani! Tulieni Machwa hii ni wenu!
hii weekend ni nzuri sana
wanaojitambua bado wamempigia kura Magufuli kwa wingi!
Na huo ndio UKWELI
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂JPM
JPM hakuna wa kumshinda, ni grade A.
JPM kusahaulika
ni kazi sana
lazima aibuke na ushindi kiti cha uRais 😀😀😀
Takwimu hazion
MTANIKUMBUKAHata hapa JF, kuna uzi wa poll wa rais yupi unamkubali na JPM ndie aliyepata kura nyingi.
ST.MAGUFULI anashusha limvua kwanza picha lianzeMTANIKUMBUKA
![]()
Kwahy gazeti la mwananchi limekuwa la hovyo baada ya kuweka hy poll ila kabla ya hapo lilikuwa lizuri.?
Ni kura za mtandaoni, Mtandao wa Instagram....Mitandao tofauti italeta matokeo tofauti, mfano ukiitisha kura hapa JF au kule Twitter Magufuli hatakuwa wa kwanzaGazeti la Kingereza la the Citizen anunue kilaza wa kijijini au mlala hoi kweli? Hao waliopiga kura ni wasomi na wanaojitambua bado wamempigia kura Magufuli kwa wingi! Mkijaribu kuja kwa wala mihogo mtatapa kura asilimia 2% aibu itakuwa kubwa zaidi!